beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,830
- 2,835
What was shown by CNN did not need investigative journalism. It was just a news report.I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mbaya zaidii ni kuwa na ndugu alafu KICHWA MAJI..I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Jipe moyo tu, eti fake news? Kwa hiyo watu hawakuuawa na polisi? Wamejiua wenyewe. You need to use your brain.You are blowing hot and cold dude. Hata angesema mashirika 30 yote ya habari ni FAKE news na CNN ikiwepo, zitabakia FAKE tu. Two wrongs don't make one right.
You are just competent in writing insults
Ni kweli kwa uelewa wako mdogo ndio maana ulishangaa. US wanazaidi ya miaka 200+ ya uhuru wao unashangaa kuona chombo cha media kuonyesha live!!!Mwaka 1998 CNN ndo walikuwa watu wa kwanza kuja Tanzania baada ya lile bomu lilolipuka Ubalozi wa Marekani pale Kinondoni.
Mimi nilikuwa narudi home kutokea Mikocheni na kwa baadae kwa mara ya kwanza nikamwona Ben Wedeman ambae alikuwa bureau chief wa CNN Nairobi alitangaza live pale. Sasa hivi huyu mjamaa yupo Rome, Italia.
Hi idadi ya watu wa timu yake ndo ilinifanya nikiheshimu chombo hichi.
Sikuwahi kuona chombo chochote cha Tanzania kikiwa live kutokea pale zaidi ya CNN na baadae akaonekana hayati Nyerere (sifahamu alifuata nini mahali pale) akishangaashangaa pale.
Na kabla ya pale nilipenda chombo hichi kwa uwezo wake wa kuripoti kutokea sehemu yoyote duniani Kama DW, BBC na Aljazeera.
Vyombo hivi vyatumia satellite, internet ya uhakika na waandishi Kama Balile hawana uwezo wa kufanya kazi kule.
Mkuu unaijua vizuri Google? Google Map ipo ya aina tofauti tofauti, ipo for Free, Commercial, Law Enforcement and Military. Labda wewe nafikiri unahangaika na hiyo ya free. Huwa inaonyesha hadi kila dakika moja.What? Google wenyewe wananunua images kutoka sources hizo hizo alikochukua CNN. Google Map images zao sio real-time, nyingine ni 3 - 5 years old.
Commercial Google Map ni biashara tofauti kabisa. Ni Routes, API etc. sio kuuza real-time imagery.
Kwa taarifa hizo images mtu yeyote anaweza akanunua. Tena ukichukua sehemu ndogo kama 1 square km bei ni chini ya $100.
Jipe moyo tu, eti fake news? Kwa hiyo watu hawakuuawa na polisi? Wamejiua wenyewe. You need to use your brain.
Taarifa ya CNN ni za kweli, weye watambua hilo na Msigwa anafahamu fika.Ni kweli kwa uelewa wako mdogo ndio maana ulishangaa. US wanazaidi ya miaka 200+ ya uhuru wao unashangaa kuona chombo cha media kuonyesha live!!!
Issue hapa taarifa zao zote ni za kweli? Unajua kuwa wakati mwingine media hizi hutumika kutoa propaganda?
Trump Rais wa US ameshasema CNN ni chombo cha fake news unasema nini kuhusu taarifa hiyo ya Rais Trump?
Nimesoma hii meseji nikiwa niko kwenye night shift nikacheka sana kidogo nidondoke mbele ya BossShift ya usiku ni ngumu sana
Kwa hiyo unamfundisha kazi?kama unajiamini nenda kawashitaki ili uionyeshe dunia uwezo wako mtaalamu mwenye CV ya uchawaThrough commercial Google Map you can obtain those images. Why he did not use commercial Google Map if he was really investigating the incident?
Hata kama awe chawa journalist!He is there for the world and you are in for it.Kula shubiri hiyo!I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Ila CCM bhana inaujinga mwingi sana ,sasa kuongea kwa kiinglish ndiyo uonekane umeongea kitu ya maana au 🤣🤣I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Instead of talking Nonsense prove wrong what he reported.I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Siku nyingine ukianzisha uzi kama huh weka namba y simu na sehemu unayoishi tuje kukupongeza kwa kukemea wanaoichafua nchi yetu.I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Shithole!Kwa hiyo unamfundisha kazi?kama unajiamini nenda kawashitaki ili uionyeshe dunia uwezo wako mtaalamu mwenye CV ya uchawa
were you in Tz on oct 29 ?How did he manage to obtain satelite pictures at Kondo area after the said incident occured but he failed to obtain pictures on the material date and time? Madowo's report is fablicated report.
mtu kupinga utekaji inahitaj kudanganywa ?Ni Kweli baada ya kupoteza ndugu zangu wawili inanipa nightmare kwelikweli natamani Leo polisi wanirecruit wanipe bunduki tarh 9 nianze kuwalenga waliowadamganya ndugu zangu tena nitakuwa nalenga za kichwa tu!
Ngoja tuone nani atatupa taulo.Kipindi hiki wanapambana na TARUMBETA KUU YA BEBERU na bahati mbaya wananchi hatupo upande wao.
Yeswere you in Tz on oct 29 ?