Last year on Valentine day with my Xwife

Pole snaa boss mwanaume uchumi ukitetereka ata kama mwanamke anakazi lakin bado atakufanyia visa snaa na kama akipata njemba nje ujue ndyo kifo cha ndoa yako japo Mimi nishasema siku nakuwa sina kazi ndyo mwisho wa mapenzi yangu Kwa mchumba wangu mapema snaa namuacha au nakimbia mkoa mwingine nikajichange kuliko kuvumilia karaha na maneno ya kejeli
Shida kubwa ni mwanamke akishapata njemba nje halafu na wewe ndo unampenda kufa.
Rafiki yangu alioa binti mzuri kinoma wamezaa nae mtoto mmoja mke akapata bwana nje, binti kadanganywa akaanza kudai talaka, nyumba ikawa haikaliki.
Kiroho upande baada ya mke kumtukana mpaka mama mkwe wake jamaa akashinikizwa na familia yake mpaka akatoa talaka huku roho inamuuma kishenzi.
Jamaa kakaa mwaka mzima stress kibao hayupo sawa ikabidi aoe mke mwingine baada ya kushawishiwa sana kua akioa atamsahau haraka huyo pasua kichwa wake.
Miaka miwili baada ya talaka yule demu akazalishwa mtoto mmoja na yule aliemrubuni halafu akamtosa.
Demu maisha yakampiga kwelikweli akarudi kuomba msamaha kwa aliekua mumewe, jamaa lilivyo fala siku ileile likanifata huku linafuraha kishenzi linataka lirudiane na aliekua mkewe ambae tayari ameshazalishwa huko nje mtoto mmoja.
 
Iyo 100k ungenunua kuku 10 saizi ungekuwa na kuku elfu moja... Tuache kuendekeza kichwa cha chini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jo we ni kauzu kishenzi.
Nilikuaga na demu anatokea Arusha nae alikuaga na pigo kama hizo zako ila tulikua tunawezana sana.
Hahahahah
Sina ukauzu wowote

Ni vile tu naendana na upepo wa upuuzi wa baadhi ya wanaJF,kipindi najiunga na JF sikuwa naishi hivi humu

Wewe mtu angekuuliza kama ni binadamu ungemjibuje?
 
Sina uhakika bhana manake sikujui

Nilichoandika kipuuzwe [emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa ndo nakupendaga dea.
Utani utani na serious kdg, mic u saanaaah.
 
Haya maisha hatuwezi kuwa serious kila muda

Missing you zaidi dia cocastic
Happy valentines
 
Mkuu pole adse...Karibu kwenye ulimwengu wa mapenzi ....ila kila hatua hakikisha unitumia akili yako sawa sawa ...
 
Unamkamua mama pesa ili ufurahishe mke..! Laana zingine mnajitakia wenyewe
 
Shida kubwa ni mwanamke akishapata njemba nje halafu na wewe ndo unampenda kufa.
Rafiki yangu alioa binti mzuri kinoma wamezaa nae mtoto mmoja mke akapata bwana nje, binti kadanganywa akaanza kudai talaka, nyumba ikawa haikaliki.
Kiroho upande baada ya mke kumtukana mpaka mama mkwe wake jamaa akashinikizwa na familia yake mpaka akatoa talaka huku roho inamuuma kishenzi.
Jamaa kakaa mwaka mzima stress kibao hayupo sawa ikabidi aoe mke mwingine baada ya kushawishiwa sana kua akioa atamsahau haraka huyo pasua kichwa wake.
Miaka miwili baada ya talaka yule demu akazalishwa mtoto mmoja na yule aliemrubuni halafu akamtosa.
Demu maisha yakampiga kwelikweli akarudi kuomba msamaha kwa aliekua mumewe, jamaa lilivyo fala siku ileile likanifata huku linafuraha kishenzi linataka lirudiane na aliekua mkewe ambae tayari ameshazalishwa huko nje mtoto mmoja.
Mbona umeishia njiani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jo we ni kauzu kishenzi.
Nilikuaga na demu anatokea Arusha nae alikuaga na pigo kama hizo zako ila tulikua tunawezana sana.
Unajipendekeza Sana bro... Acha kumlisha matango pori Hana ukauzu wowte hutu
 
Back
Top Bottom