Last year on Valentine day with my Xwife

Last year on Valentine day with my Xwife

Mzee ukapigwa na kitu kizito, pole mzee, maisha ya wawili yana mtihani mnoo, lazima tumshirikishe mungu,🤲 sababu yeye ndio anayajua yale tusioyajua.. Atupatie wenzi SWAAFI kabisa, wakudumu nao🤲. Kuoa ni changamoto ukibahatika, unahisi dunia hii uliumbiwa wewe tu, ukifeli ndio unaiona june July 🤔
 
Back
Top Bottom