Hi all,
Mimi nilikua nafikiria ALLIANCE FARM or UMOJA FARMING ALLICANCE... As I beleive the name speaks for itself and has more weight to it!!!
Hii itatusaidia baadae tukiamua kuingia kwenye projects nyingine tunaweza tumia ALLIANCE GROUP/UMOJA ALLIANCE GROUP
Or anything with Alliance in it to represent our very idea of unity!
What say are you?
Many thanks
Mchakato wa LAT umekaa vizuri,Malila nashauri uchukue Jukumu la kuwa Interim Finance controller mpaka mradi utakapo simama.
Tutarajie kuanza na kiasi gani per individually?
Hi all,
Mimi nilikua nafikiria ALLIANCE FARM or UMOJA FARMING ALLICANCE... As I beleive the name speaks for itself and has more weight to it!!!
Hii itatusaidia baadae tukiamua kuingia kwenye projects nyingine tunaweza tumia ALLIANCE GROUP/UMOJA ALLIANCE GROUP
Or anything with Alliance in it to represent our very idea of unity!
What say are you?
Many thanks
Nimeshatuma PM kwa wote waliothibitisha kuunganisha nguvu ili tuwe pamoja, na wale waliojibu pm hizo ukichanganya na zile ninazozijua,nimeshawatumia salaam kwa mail zenu sasa. LAT akikamilisha mambo muhimu tutakuwa tumeunganishwa kupitia group mail yetu. Vaveja sana.
Mawazo mazuri!! natamani ingekuwepo njia ya kuchuja watu ili kuhakikisha unakuwa na watu ambao wanamaanisha tu, narudia kusema watu wanaomaanisha tu- mawazo ya Caroline Danzi ni muhimu yakatiliwa maanani!!.
baada ya kutanguliza hiyo paragraph naomba niwapongeze wote waliotoa maoni positively!! naamini members wakimaanisha na wakashiriki kwa ukamilifu (narudia kwa ukamilifu) mafanikio yapo mbele ya macho yetu.
natafakari!
Mkuu
Kenge ktk msafara hawakosekani, hatuna jinsi, cha msingi ni vizuri kuwapata mamba halisi wanaoweza kuongoza msafara huo. Tatizo linakuja kukiwa na kenge wengi kuliko mamba.
kusema ukweli mambo yanawezekana. nimependa composition ya Malila, LAT, newmzalendo na VOR. You are my hello and support your ideas.
kikubwa ni kutengeneza kalenda ya kazi na gharama husika. mtu mmoja ajitolee aingize template ya LAT kwenye excel sheet na kutengeneza bajeti. thereafter itengenezwe calendar of payment ili kila mtu ajue anatakiwa achangie nini na lini.
mfano Month 1 ni 330K for land acquisition; month 2: labday XYZ TSh. for building various structures and essential equipment Month 3: XYZ Tsh for acquisition of goats etc
tupo pamoja.
natafakari
Naamini tukikutana kikao cha Kwanza, hii itakuwa moja ya agenda zetu kuu.
Malila,asante kwa kuweka muda kwenye hii kitu. I suggest tuhamishie technical communications kwenye email ya group..
Hey Guys.
Katika kikao Cha Tarehe 9. Naomaba Tusisahau kuweka Deadline ya Free Membership.
Cha msingi ni kuangalia Uwezo wa Members waliopo katika ku Raise the Desired Capital.
It has to reach a time kama member anataka Kujiunga. Apart from Buying shares, There has to Be a fixed Membership fee.
Big up guys for the Steps we have made.
Its very very encouraging I may Say.
Mimi nawatakia kila la heri. Mwanzo mgumu ila msikate tamaa.
mkwe afadhali usijiunge manake utapeleka habari kwa baba mkwe wewe!
halafu nimeona mambo yako mkwe. Mmh! Hebu tutoke hapa, tusichakachue namwogopa malila.
Wakati natafuta shingo yako, mara umenitaka radhi, bahati yako !!!
Nataraji sijachelewa... nilikuwa nahama hivyo sijaingia JF kama zaidi ya wiki sasa. Malila, natuma info zangu via pm. Hii kitu imetulia na nafurahi kuona watu wameamua kufanya kweli vs. mazungumzo.