LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

Hi all,

Mimi nilikua nafikiria ALLIANCE FARM or UMOJA FARMING ALLICANCE... As I beleive the name speaks for itself and has more weight to it!!!

Hii itatusaidia baadae tukiamua kuingia kwenye projects nyingine tunaweza tumia ALLIANCE GROUP/UMOJA ALLIANCE GROUP

Or anything with Alliance in it to represent our very idea of unity!

What say are you?

Many thanks
 
Asante kwa mchango, ngoja tuone wenzetu wanasema nini.
 
Mchakato wa LAT umekaa vizuri,Malila nashauri uchukue Jukumu la kuwa Interim Finance controller mpaka mradi utakapo simama.

Tutarajie kuanza na kiasi gani per individually?

Naomba kuwajulisha kuwa, wale wote ambao wanataka kujiunga nasi ktk project hii, watume kwangu kwa pm majina yao halisi na mail address zao, Kwa sasa LAT atachukua moja ya majina tuliyotoa hapo juu kwa ajili ya mail group na registration. Michango itumwe kwangu kama NM alivyopendekeza. Ukini-pm nitakupa contact yangu ya wapi utume mchango wako.

Tunakwenda speed ili tukomboe wakati, napendekeza kuwa; tutaitisha kikao the second week of november ili kuona matokeo ya majukumu tuliyopeana tayari(Wajumbe tupeni viwanja). Minimum tunahitaji watu kumi. Wafuatao wasinipe mail zao ( kishaju, kasopa, Nm, dada, manundu,LAT) kwa sababu ninazo.
 
Hi all,

Mimi nilikua nafikiria ALLIANCE FARM or UMOJA FARMING ALLICANCE... As I beleive the name speaks for itself and has more weight to it!!!

Hii itatusaidia baadae tukiamua kuingia kwenye projects nyingine tunaweza tumia ALLIANCE GROUP/UMOJA ALLIANCE GROUP

Or anything with Alliance in it to represent our very idea of unity!

What say are you?

Many thanks

Nimeshatuma PM kwa wote waliothibitisha kuunganisha nguvu ili tuwe pamoja, na wale waliojibu pm hizo ukichanganya na zile ninazozijua,nimeshawatumia salaam kwa mail zenu sasa. LAT akikamilisha mambo muhimu tutakuwa tumeunganishwa kupitia group mail yetu. Vaveja sana.
 
pamoja mkuu

kazi imeanza rasmi
 
Mawazo mazuri!! natamani ingekuwepo njia ya kuchuja watu ili kuhakikisha unakuwa na watu ambao wanamaanisha tu, narudia kusema watu wanaomaanisha tu- mawazo ya Caroline Danzi ni muhimu yakatiliwa maanani!!.

baada ya kutanguliza hiyo paragraph naomba niwapongeze wote waliotoa maoni positively!! naamini members wakimaanisha na wakashiriki kwa ukamilifu (narudia kwa ukamilifu) mafanikio yapo mbele ya macho yetu.

natafakari!
 
Mkuu
Kenge ktk msafara hawakosekani, hatuna jinsi, cha msingi ni vizuri kuwapata mamba halisi wanaoweza kuongoza msafara huo. Tatizo linakuja kukiwa na kenge wengi kuliko mamba.
 
kusema ukweli mambo yanawezekana. nimependa composition ya Malila, LAT, newmzalendo na VOR. You are my hello and support your ideas.

kikubwa ni kutengeneza kalenda ya kazi na gharama husika. mtu mmoja ajitolee aingize template ya LAT kwenye excel sheet na kutengeneza bajeti. thereafter itengenezwe calendar of payment ili kila mtu ajue anatakiwa achangie nini na lini.
mfano Month 1 ni 330K for land acquisition; month 2: labday XYZ TSh. for building various structures and essential equipment Month 3: XYZ Tsh for acquisition of goats etc
tupo pamoja.
natafakari
 
Naamini tukikutana kikao cha Kwanza, hii itakuwa moja ya agenda zetu kuu.
 
Hey Guys.

Katika kikao Cha Tarehe 9. Naomaba Tusisahau kuweka Deadline ya Free Membership.

Cha msingi ni kuangalia Uwezo wa Members waliopo katika ku Raise the Desired Capital.

It has to reach a time kama member anataka Kujiunga. Apart from Buying shares, There has to Be a fixed Membership fee.

Big up guys for the Steps we have made.

Its very very encouraging I may Say.
 
The point taken.
 
Mimi nawatakia kila la heri. Mwanzo mgumu ila msikate tamaa.
 
Nataraji sijachelewa... nilikuwa nahama hivyo sijaingia JF kama zaidi ya wiki sasa. Malila, natuma info zangu via pm. Hii kitu imetulia na nafurahi kuona watu wameamua kufanya kweli vs. mazungumzo.
 
Nimeipata,nenda kwa box mail yako, utaona nini kiko huko.
 
Back
Top Bottom