LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

Ninajua moja ya Sheria za JF ni ''No name calling'' Naombeni mods mniwie Radhi.

Katika jukwaa hili la Biashara tuna wachangiaji wengi na wazuri sana,

Wachangiaji wasiopenda kuleta Mzaha kwenye mambo ya maana, and There are people with very constructive Ideas.

Nimepata bahati ya kupitia ile Idea ya JE Saccos and its a marvelous Idea. Na Ningependelea Tuisupport ile Idea kwa nguvu zetu zote. Just think how many times you spent 50,000 in a Bar for a Single day. just take this amount to JE saccos and and Just forget about it, the way you forget it after spending on Beers.

I just have an Idea Closely connected to That.

Hivi haiwezekani tukajikusanya kama Members 50. with a fixed contribution of 5,000,000.

This will bring in a total of 250,000,000.

Hapa tunaweza sajili kampuni tunaingia Mzigoni- Au Tunaweza hata kujenga a small and classic guest house mkoani au Dar Depending on this raised Capital

What do you say Guys.

Hii ni Enzi hizo baba Milioni tano leo ni nyingi
 
Back
Top Bottom