Hata zikiwa ranking za Makapu, bado Yanga hawezi kuwa juu ya SimbaHizi ranking zimetolewa na Manara wataamini Mbumbumbu fc pekee
Baada ya Simba anafuata Gor MahiaKenya hakuna league?
Ulitaka zahera ndo asimamie hizo ranking???..hawa simba watakuwa wameihonga caf iwape iyo nafasiNo wonder FIFA wameteua mtu wa kusimamia uendeshaji wa CAF. Kama rankings zenyewe zipo hivyo FIFA wana kila sababu ya kufanya hivyo.
Siku Musonye akipata madaraka makubwa huko CAF basi Tz tujiandae kusomeshwa namba
Kwanini hajielewi...tusiwapangie maisha wachezaji...mtu kashasema hajaenda huko tp mazembe sababu ya maslahi sasa mashabiki maandazi wanataka mchezaji aishi kama wanavyotaka waoIla Ajib hajielewi tu.
Ulitaka zahera ndo asimaimie hizo ranking???..hawa simba watakuwa wameihonga caf iwape iyo nafasi
Leta wewe ranking zilizopangwa na zahera tuone mpo nafasi ya ngapiHizi ranking zimetolewa na Manara wataamini Mbumbumbu fc pekee
Tatizo lipo wapi..???Kama hujaona tatizo lililopo kwenye hiyo ranking basi sina msaada zaidi. Na siongelei nafasi za Yanga wala Simba.
Maslahi!Kwanini hajielewi...tusiwapangie maisha wachezaji...mtu kashasema hajaenda huko tp mazembe sababu ya maslahi sasa mashabiki maandazi wanataka mchezaji aishi kama wanavyotaka wao
Tatizo lipo wapi..???
Latest CAF Clubs ranking TOP 70
1.TP Mazembe [emoji1078]
2.Wydad Casablanca [emoji1173]
3.Al-Ahly [emoji1093]
4.Espรฉrance de Tunis [emoji1249]
5.Mamelodi Sundowns [emoji1221]
6.รtoile du Sahel [emoji1249]
7.Zamalek [emoji1093]
8.Horoya [emoji1119]
9.USM Alger [emoji1026]
9.Raja Casablanca [emoji1173]
11.ZESCO United [emoji1268]
12.AS Vita Club [emoji1078]
13.RS Berkane [emoji1173]
14.CS Sfaxien [emoji1249]
15.Al-Hilal [emoji1232]
15.Club Africain [emoji1249]
17.ES Sรฉtif [emoji1026]
18.1ยบ de Agosto [emoji1029]
18.Enyimba [emoji1184]
20.CS Constantine [emoji1026]
20.FUS Rabat [emoji1173]
20.Simba [emoji1241]
23.Gor Mahia [emoji1139]
23.Orlando Pirates [emoji1221]
25.Al-Masry [emoji1093]
25.SuperSport United [emoji1221]
27.ASEC Mimosas [emoji1081]
27.KCCA [emoji1254]
29.JS Saoura [emoji1026]
29.MC Alger [emoji1026]
29.Al-Ahli Tripoli [emoji1149]
29.Hassania Agadir [emoji1173]
29.Lobi Stars [emoji1184]
29.Al-Merrikh [emoji1232]
29.Nkana [emoji1268]
36.Ferroviรกrio Beira [emoji1174]
37.MO Bรฉjaรฏa [emoji1026]
37.CARA Brazzaville [emoji1077]
37.Difaรข El Jadidi [emoji1173]
37.Rayon Sports [emoji1206]
41.Mbabane Swallows [emoji1235]
42.Saint George [emoji1098]
42.Al-Hilal Al-Ubayyid [emoji1232]
42.Zanaco [emoji1268]
45.NA Hussein Dey [emoji1026]
45.Ismaily [emoji1093]
45.Asante Kotoko [emoji1110]
45.Enugu Rangers [emoji1184]
45.FC Platinum [emoji1269]
50.TOWNSHIP ROLLERS [emoji1052]
50.Williamsville [emoji1081]
50.UD Songo [emoji1174]
50.AS Togo-Port [emoji1244]
54.Recreativo do Libolo [emoji1029]
54.Coton Sport [emoji1062]
54.Young Africans [emoji1241]
54.CAPS United [emoji1269]
58.Petro de Luanda [emoji1029]
58.Salitas [emoji1059]
58.AS Otรดho [emoji1077]
58.Smouha [emoji1093]
62.Aduana Stars [emoji1110]
62.Medeama [emoji1110]
62.Djoliba [emoji1159]
62.Moghreb Tรฉtouan [emoji1173]
62.Kawkab Marrakeca [emoji1173]
67.CF Mounana [emoji1107]
67.Rivers United [emoji1184]
70.MC El Eulma [emoji1026]
70.AC Lรฉopards [emoji1077]
70.Stade Malien [emoji1159]
Simba tuna malengo ya kuingia top 5
Latest CAF Clubs ranking TOP 70
1.TP Mazembe ๐จ๐ฉ
2.Wydad Casablanca ๐ฒ๐ฆ
3.Al-Ahly ๐ช๐ฌ
4.Espรฉrance de Tunis ๐น๐ณ
5.Mamelodi Sundowns ๐ฟ๐ฆ
6.รtoile du Sahel ๐น๐ณ
7.Zamalek ๐ช๐ฌ
8.Horoya ๐ฌ๐ณ
9.USM Alger ๐ฉ๐ฟ
9.Raja Casablanca ๐ฒ๐ฆ
11.ZESCO United ๐ฟ๐ฒ
12.AS Vita Club ๐จ๐ฉ
13.RS Berkane ๐ฒ๐ฆ
14.CS Sfaxien ๐น๐ณ
15.Al-Hilal ๐ธ๐ฉ
15.Club Africain ๐น๐ณ
17.ES Sรฉtif ๐ฉ๐ฟ
18.1ยบ de Agosto ๐ฆ๐ด
18.Enyimba ๐ณ๐ฌ
20.CS Constantine ๐ฉ๐ฟ
20.FUS Rabat ๐ฒ๐ฆ
20.Simba ๐น๐ฟ
23.Gor Mahia ๐ฐ๐ช
23.Orlando Pirates ๐ฟ๐ฆ
25.Al-Masry ๐ช๐ฌ
25.SuperSport United ๐ฟ๐ฆ
27.ASEC Mimosas ๐จ๐ฎ
27.KCCA ๐บ๐ฌ
29.JS Saoura ๐ฉ๐ฟ
29.MC Alger ๐ฉ๐ฟ
29.Al-Ahli Tripoli ๐ฑ๐พ
29.Hassania Agadir ๐ฒ๐ฆ
29.Lobi Stars ๐ณ๐ฌ
29.Al-Merrikh ๐ธ๐ฉ
29.Nkana ๐ฟ๐ฒ
36.Ferroviรกrio Beira ๐ฒ๐ฟ
37.MO Bรฉjaรฏa ๐ฉ๐ฟ
37.CARA Brazzaville ๐จ๐ฌ
37.Difaรข El Jadidi ๐ฒ๐ฆ
37.Rayon Sports ๐ท๐ผ
41.Mbabane Swallows ๐ธ๐ฟ
42.Saint George ๐ช๐น
42.Al-Hilal Al-Ubayyid ๐ธ๐ฉ
42.Zanaco ๐ฟ๐ฒ
45.NA Hussein Dey ๐ฉ๐ฟ
45.Ismaily ๐ช๐ฌ
45.Asante Kotoko ๐ฌ๐ญ
45.Enugu Rangers ๐ณ๐ฌ
45.FC Platinum ๐ฟ๐ผ
50.TOWNSHIP ROLLERS ๐ง๐ผ
50.Williamsville ๐จ๐ฎ
50.UD Songo ๐ฒ๐ฟ
50.AS Togo-Port ๐น๐ฌ
54.Recreativo do Libolo ๐ฆ๐ด
54.Coton Sport ๐จ๐ฒ
54.Young Africans ๐น๐ฟ
54.CAPS United ๐ฟ๐ผ
58.Petro de Luanda ๐ฆ๐ด
58.Salitas ๐ง๐ซ
58.AS Otรดho ๐จ๐ฌ
58.Smouha ๐ช๐ฌ
62.Aduana Stars ๐ฌ๐ญ
62.Medeama ๐ฌ๐ญ
62.Djoliba ๐ฒ๐ฑ
62.Moghreb Tรฉtouan ๐ฒ๐ฆ
62.Kawkab Marrakeca ๐ฒ๐ฆ
67.CF Mounana ๐ฌ๐ฆ
67.Rivers United ๐ณ๐ฌ
70.MC El Eulma ๐ฉ๐ฟ
70.AC Lรฉopards ๐จ๐ฌ
70.Stade Malien ๐ฒ๐ฑ
Simba tuna malengo ya kuingia top 5
Kwa hiyo na wewe unaamini kila mchezaji wa tp mazembe analipwa vizuri kuliko kila mchezaji wa simba....kwamba ambokile kule tp mazembe analipwa vizuri kuliko kagere simba?????....kati ya mimi na wewe who is not serious????Maslahi!
Unaamini Simba kuna maslahi kuliko Tp Mazembe.You can't be serious
Siyo kila unachoambiwa kipo hivyo, learn to digest infos
Kuhesabu nini???...kama unahoja nenda moja kwa moja kwenye point yako ya msingi udhaifu wa hizo ranking ni upiMkuu; hujui kuhesabu?
Dan Jordan ndio atakuja kucheza Yanga aifanye iwe ya 30 au 10?
Achane na huyo bwege akili za kushikiwaKwa hiyo na wewe unaamini kila mchezaji wa tp mazembe analipwa vizuri kuliko kila mchezaji wa simba....kwamba ambokile kule tp mazembe analipwa vizuri kuliko kagere simba?????....kati ya mimi na wewe who is not serious????
Wajiulize wao wakati awashiriki michuano ya caf walikua wanashika no ngapi,yan hapo Yanga haijashiriki michuano ya caf last season lakini ipo kwenye 70 boraAlgeria yร 13 kwenye CAF rankings..ila anaenda kuchukuwa kombe mbele ya namba moja..badala ya kuisifia Yanga imo ndani ya 70 Bora bila ya kucheza msinu uliopita...mikia inawauma Yanga kucheza CAF champions league msinu huu..mtazoea tu ingawa mwanzo mwanzo inauma
Huna taarifa Tenga kacharazwa huko na Mganda?Bado haujaanza maana bado wapo kwenye malumbano. In fact Tenga wetu ni mmoja wa wanaopinga mpango huo.