Latest CAF Club ranking,Simba SC yawa ya 20, Yanga 57

Latest CAF Club ranking,Simba SC yawa ya 20, Yanga 57

No wonder FIFA wameteua mtu wa kusimamia uendeshaji wa CAF. Kama rankings zenyewe zipo hivyo FIFA wana kila sababu ya kufanya hivyo.
Ulitaka zahera ndo asimamie hizo ranking???..hawa simba watakuwa wameihonga caf iwape iyo nafasi
 
Ila Ajib hajielewi tu.
Kwanini hajielewi...tusiwapangie maisha wachezaji...mtu kashasema hajaenda huko tp mazembe sababu ya maslahi sasa mashabiki maandazi wanataka mchezaji aishi kama wanavyotaka wao
 
Ulitaka zahera ndo asimaimie hizo ranking???..hawa simba watakuwa wameihonga caf iwape iyo nafasi

Kama hujaona tatizo lililopo kwenye hiyo ranking basi sina msaada zaidi. Na siongelei nafasi za Yanga wala Simba.
 
Kwanini hajielewi...tusiwapangie maisha wachezaji...mtu kashasema hajaenda huko tp mazembe sababu ya maslahi sasa mashabiki maandazi wanataka mchezaji aishi kama wanavyotaka wao
Maslahi!

Unaamini Simba kuna maslahi kuliko Tp Mazembe.You can't be serious

Siyo kila unachoambiwa kipo hivyo, learn to digest infos
 
Hongera Taifa Kubwa, Simba SC kwa kazi nzuri. Mungu anawaona.
Latest CAF Clubs ranking TOP 70
1.TP Mazembe [emoji1078]
2.Wydad Casablanca [emoji1173]
3.Al-Ahly [emoji1093]
4.Espérance de Tunis [emoji1249]
5.Mamelodi Sundowns [emoji1221]
6.Étoile du Sahel [emoji1249]
7.Zamalek [emoji1093]
8.Horoya [emoji1119]
9.USM Alger [emoji1026]
9.Raja Casablanca [emoji1173]
11.ZESCO United [emoji1268]
12.AS Vita Club [emoji1078]
13.RS Berkane [emoji1173]
14.CS Sfaxien [emoji1249]
15.Al-Hilal [emoji1232]
15.Club Africain [emoji1249]
17.ES Sétif [emoji1026]
18.1º de Agosto [emoji1029]
18.Enyimba [emoji1184]
20.CS Constantine [emoji1026]
20.FUS Rabat [emoji1173]
20.Simba [emoji1241]
23.Gor Mahia [emoji1139]
23.Orlando Pirates [emoji1221]
25.Al-Masry [emoji1093]
25.SuperSport United [emoji1221]
27.ASEC Mimosas [emoji1081]
27.KCCA [emoji1254]
29.JS Saoura [emoji1026]
29.MC Alger [emoji1026]
29.Al-Ahli Tripoli [emoji1149]
29.Hassania Agadir [emoji1173]
29.Lobi Stars [emoji1184]
29.Al-Merrikh [emoji1232]
29.Nkana [emoji1268]
36.Ferroviário Beira [emoji1174]
37.MO Béjaïa [emoji1026]
37.CARA Brazzaville [emoji1077]
37.Difaâ El Jadidi [emoji1173]
37.Rayon Sports [emoji1206]
41.Mbabane Swallows [emoji1235]
42.Saint George [emoji1098]
42.Al-Hilal Al-Ubayyid [emoji1232]
42.Zanaco [emoji1268]
45.NA Hussein Dey [emoji1026]
45.Ismaily [emoji1093]
45.Asante Kotoko [emoji1110]
45.Enugu Rangers [emoji1184]
45.FC Platinum [emoji1269]
50.TOWNSHIP ROLLERS [emoji1052]
50.Williamsville [emoji1081]
50.UD Songo [emoji1174]
50.AS Togo-Port [emoji1244]
54.Recreativo do Libolo [emoji1029]
54.Coton Sport [emoji1062]
54.Young Africans [emoji1241]
54.CAPS United [emoji1269]
58.Petro de Luanda [emoji1029]
58.Salitas [emoji1059]
58.AS Otôho [emoji1077]
58.Smouha [emoji1093]
62.Aduana Stars [emoji1110]
62.Medeama [emoji1110]
62.Djoliba [emoji1159]
62.Moghreb Tétouan [emoji1173]
62.Kawkab Marrakeca [emoji1173]
67.CF Mounana [emoji1107]
67.Rivers United [emoji1184]
70.MC El Eulma [emoji1026]
70.AC Léopards [emoji1077]
70.Stade Malien [emoji1159]

Simba tuna malengo ya kuingia top 5
 
Latest CAF Clubs ranking TOP 70
1.TP Mazembe 🇨🇩
2.Wydad Casablanca 🇲🇦
3.Al-Ahly 🇪🇬
4.Espérance de Tunis 🇹🇳
5.Mamelodi Sundowns 🇿🇦
6.Étoile du Sahel 🇹🇳
7.Zamalek 🇪🇬
8.Horoya 🇬🇳
9.USM Alger 🇩🇿
9.Raja Casablanca 🇲🇦
11.ZESCO United 🇿🇲
12.AS Vita Club 🇨🇩
13.RS Berkane 🇲🇦
14.CS Sfaxien 🇹🇳
15.Al-Hilal 🇸🇩
15.Club Africain 🇹🇳
17.ES Sétif 🇩🇿
18.1º de Agosto 🇦🇴
18.Enyimba 🇳🇬
20.CS Constantine 🇩🇿
20.FUS Rabat 🇲🇦
20.Simba 🇹🇿
23.Gor Mahia 🇰🇪
23.Orlando Pirates 🇿🇦
25.Al-Masry 🇪🇬
25.SuperSport United 🇿🇦
27.ASEC Mimosas 🇨🇮
27.KCCA 🇺🇬
29.JS Saoura 🇩🇿
29.MC Alger 🇩🇿
29.Al-Ahli Tripoli 🇱🇾
29.Hassania Agadir 🇲🇦
29.Lobi Stars 🇳🇬
29.Al-Merrikh 🇸🇩
29.Nkana 🇿🇲
36.Ferroviário Beira 🇲🇿
37.MO Béjaïa 🇩🇿
37.CARA Brazzaville 🇨🇬
37.Difaâ El Jadidi 🇲🇦
37.Rayon Sports 🇷🇼
41.Mbabane Swallows 🇸🇿
42.Saint George 🇪🇹
42.Al-Hilal Al-Ubayyid 🇸🇩
42.Zanaco 🇿🇲
45.NA Hussein Dey 🇩🇿
45.Ismaily 🇪🇬
45.Asante Kotoko 🇬🇭
45.Enugu Rangers 🇳🇬
45.FC Platinum 🇿🇼
50.TOWNSHIP ROLLERS 🇧🇼
50.Williamsville 🇨🇮
50.UD Songo 🇲🇿
50.AS Togo-Port 🇹🇬
54.Recreativo do Libolo 🇦🇴
54.Coton Sport 🇨🇲
54.Young Africans 🇹🇿
54.CAPS United 🇿🇼
58.Petro de Luanda 🇦🇴
58.Salitas 🇧🇫
58.AS Otôho 🇨🇬
58.Smouha 🇪🇬
62.Aduana Stars 🇬🇭
62.Medeama 🇬🇭
62.Djoliba 🇲🇱
62.Moghreb Tétouan 🇲🇦
62.Kawkab Marrakeca 🇲🇦
67.CF Mounana 🇬🇦
67.Rivers United 🇳🇬
70.MC El Eulma 🇩🇿
70.AC Léopards 🇨🇬
70.Stade Malien 🇲🇱

Simba tuna malengo ya kuingia top 5

Na kuna uwezekano hao CAF kama wakisikia kuwa Yanga imeweka Kambi yake huko Bigwa Morogoro ambapo kuna muda huwa wanafanya Mazoezi yao na Matikiti Maji, Maboga na Miwa wanaweza wakashushwa zaidi na hata kuwa wa 70.
 
Algeria yà 13 kwenye CAF rankings..ila anaenda kuchukuwa kombe mbele ya namba moja..badala ya kuisifia Yanga imo ndani ya 70 Bora bila ya kucheza msinu uliopita...mikia inawauma Yanga kucheza CAF champions league msinu huu..mtazoea tu ingawa mwanzo mwanzo inauma
 
Maslahi!

Unaamini Simba kuna maslahi kuliko Tp Mazembe.You can't be serious

Siyo kila unachoambiwa kipo hivyo, learn to digest infos
Kwa hiyo na wewe unaamini kila mchezaji wa tp mazembe analipwa vizuri kuliko kila mchezaji wa simba....kwamba ambokile kule tp mazembe analipwa vizuri kuliko kagere simba?????....kati ya mimi na wewe who is not serious????
 
Algeria yà 13 kwenye CAF rankings..ila anaenda kuchukuwa kombe mbele ya namba moja..badala ya kuisifia Yanga imo ndani ya 70 Bora bila ya kucheza msinu uliopita...mikia inawauma Yanga kucheza CAF champions league msinu huu..mtazoea tu ingawa mwanzo mwanzo inauma
Wajiulize wao wakati awashiriki michuano ya caf walikua wanashika no ngapi,yan hapo Yanga haijashiriki michuano ya caf last season lakini ipo kwenye 70 bora
 
Back
Top Bottom