Assalamu alleikum,
Kuna habari zimesambaa hapa Mjini Arusha kuwa LATRA wameunda SACCO'S yao ya taxi wakishirikiana na Baadhi ya matajiri wenye magari lengo likiwa Ni kuhakikisha Hakuna mtu mwingine anapewa leseni ya Minvan taxi asipojiunga na hiyo Sacco's
Sasa kuna maswali mengi yanaibuka hapa. Je ni Kwa nini hii Sacco's ichague Madereva ambao NI wamiliki wa magari tu haitaki Madereva waajiriwa?
Na pia hata wamiliki wengine wametupwa nje hawakushirikishwa Baada ya kutokuzokubali Sera za hiyo saccos na wameahidiwa hawatapewa leseni Kwa asiye mwanachama?
Kwanini suala la kutoa leseni liwe Kwa ajili ya watu fulani wakati ni huduma ya Kiserikali Ikiwa Gari iko official Registered as commercial vehicle?
Na zingine ni company kabisa?
Hivi company ikajiunge ndani ya saccos kweli?
Kama watu wamekubaliana kuanzisha SACCO'S yao Linaondoaje uhalali wa watu wengine kupata huduma wasio wanachama?
NI dhahiri kwamba Sacco's NI umoja wa watu waliokubaliana katika mambo hayo waliokubaliana Ndio maana ni Chama Sio kampuni.
Sasa wale wasiohitaji mambo mengine yaliyopo ndani ya hiyo Sacco's kwa nini?
Waitwe wahalifu na kunyimwa uhalali wa kufanya kazi zao?
Yani mtu alipe Kodi za Serikali halafu alipe tozo Kibao za Kwenye SACCO'S, sijui kufa na kuzikana, michango ya mwezi, uwekezaji kuna wasiotaka hayo mambo Kwa nini walazimishwe?
Ikumbukwe kuwa uanzishwaji wa Sacco's wa Noah Arusha to Namanga border ni moja ya udhaifu wa LATRA na kinachoitambulisha LATRA kuwa haifwati sheria bali Maslahi Binafsi Ikiwemo na wao kujiunga huko Kwenye Chama Kwa Siri ili kufaidika na mikopo ,Rushwa na udhaifu mkubwa WA kiutendaji.
Wao wenyewe wanaelewa Noah kubeba watu Kumi kilometre zote zile Ni kinyume cha Sheria zao Lakini wameruhusu
Sasa wamekusanya wamiliki wa hizi taxi (Minvan) Alphard, Noah, Kwa jambo lile lile baada ya kuona Uchaguzi unakuja hela za mikopo ziko nje nje. Wamechaguana watu fulani, Wanafanya vikao vyao , wamefanikiwa kuzishawishi Baadhi ya Taasisi zingine za Serikali kama wadau katika kufanikisha jambo lao. Na sasa wameahidi kuanzia Tarehe 1/6 /2024 atakayekutwa na mzungu hayuko Kwenye hicho Chama hao wageni watashushwa Barabarani waite Gari mwanachama wa Sacco's yao wapelekwe huko wanakoenda.
LATRA anasahau kumtoa mzungu Airport kumleta Mjini Ni zoezi la mwisho kabisa katika Biashara ya utalii
Usimuone mzungu kaja Tanzania kuna waliotupa pesa zao bila kuzihurumia Ndio mzungu akapatikana.
Sasa je Kwa nini hiyo Sacco's isitafute na wageni wao ibebe.
Inalenga kuharibu soko lililongaramiwa na watu wengine?
Kwa LATRA ikumbuke Serikali haileti watalii. Bali inasimamia na kukusanya mapato. Saa imefika kila kitu kitawekwa wazi na vikao vilivyofanyikia bar zote.
Picha zitawekwa wazi. Waliitana Kwa Siri bar Walivyoona watu wanakuwa wengi wakapitisha mchujo kuwa Wanataka matajiri wa magari tu Driver/ owner.
Ila sasa Dunia itakapohudhuria wageni wanaowahi Ndege wanaachwa Barabarani Au waliotoka Airport wamechoka na safari kuachwa road Ili kungoja usafiri wa Sacco's.
Ndio Serikali itaelewa tunaposema tuna wasomi wa ajabu sana