Cheology
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 384
- 601
Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya..
Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao.
Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa abiria.
LATRA/Sumatra bado mmelala sana. Hamjatooa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Gari zinajiamulia nauli Yao. You guys must be kidding!
Tuamkeni