Cheology JF-Expert Member Joined Jun 25, 2022 Posts 384 Reaction score 601 Jul 6, 2022 #1 Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya.. Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao. Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa abiria. LATRA/Sumatra bado mmelala sana. Hamjatooa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Gari zinajiamulia nauli Yao. You guys must be kidding! Tuamkeni
Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya.. Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao. Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa abiria. LATRA/Sumatra bado mmelala sana. Hamjatooa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Gari zinajiamulia nauli Yao. You guys must be kidding! Tuamkeni
TOHATO JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 1,336 Reaction score 4,653 Jul 6, 2022 #2 1. Punguza hasira uandike vizuri 2 Fafanua sasa wameongeza njia ipi na mnalipa shi ngapi badala ya hiyo iloandikwa hapo. 3 Tumia lugha moja tutakuelewa.
1. Punguza hasira uandike vizuri 2 Fafanua sasa wameongeza njia ipi na mnalipa shi ngapi badala ya hiyo iloandikwa hapo. 3 Tumia lugha moja tutakuelewa.
3 Angels message JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 5,350 Reaction score 15,426 Jul 6, 2022 #3 Hao Latra ni wahujumu uchumi toka serikali ilipotoa ruzuku mwezi wa sita mafuta yakashuka bado tuliendelea kulipa nauli ya bei wakati yamepanda. Nadhani kuna namna kati yao na wamiliki wa vyombo vya usafiri, wametuibia sana
Hao Latra ni wahujumu uchumi toka serikali ilipotoa ruzuku mwezi wa sita mafuta yakashuka bado tuliendelea kulipa nauli ya bei wakati yamepanda. Nadhani kuna namna kati yao na wamiliki wa vyombo vya usafiri, wametuibia sana