Kama wenye mabasi hawana udhibiti wala utambuzi wa ufanyaji kazi wa ving'amuzi vya LATRA kwenye magari yao, ni vipi kuwajibishwa wao kwa mapungufu yoyote kwenye vifaa hivi?
Bila shaka hawa pamoja na kufungiwa wakiwa wamelipia vibali, kodi, bima na tozo zote husika, faini nzito nzito zitakuwa zimewahusu.
Unyonge huu hadi lini?
"Mtu awekewe kifaa asichokuwa na udhibiti wala utaalamu wowote nacho. Hana namna ya kujua ni kizima au kibovu. Hana namna ya kujua kinafanya kazi au la."
Atokee mtu alikotoka kwamba kifaa hakifanyi kazi hivyo adhabu inakuhusu?
Huku si ndiko kuuziana mbuzi kwenye gunia?