Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hivyo vifaa hakuna mamlaka halali zinazotambulika zinazoviuza? kama wameacha watu waviuze kiholela, bila kuwepo mamlaka ya kuvikagua vitokapo na viuzwapo, basi LATRA wakubali uzembe na wasiwaonee hao watumiaji wa vifaa husika.
Umesikika, sifia sifia!!PingaPinga FC bana, wadereva wakiendesha kasi utasikia LATRA wamelala
LATRA wakifanya kazi yao, bado malalamiko na kupingapinga ovyo
Ninacho kuona hapa inaonesha Kuna faida binafsi ya anaye andika hiyo faini.Maana waliwahi kuzuiliwa kuandika hizo 250000.Wakashitaki mahakamani ili waendelee kulipisha faini.Huyu wa Iringa ndio balaa yaani Yeye ana andika hovyo hovyo.Na akisha andika akiwa tu ofisini utafikiri msahafu hakuna wa kuingilia.Hafuatilili kama gari Iko garege Yeye anaendelea kuandika kama njugu..Gari inaenda Mbeya kwa siku mbili WNarudi na laki Yeye ana andika 250000.Nchi hii Kila mtu kambale mamba.Wewe tetea ujinga tu, waki over-speed na kuchinja watu hao wewe ndiyo wa kwanza kulalamika LATRA wamelala
VTS zinakua tampered wewe unakenua meno na kusema wanaonewa, bure kabisa
Mfano wako hauna uhusiano na kinachoengdelea.Vipi ukiwajibishwa kuwa simu yako inatuma mawimbi yasiyojulikana usiyoyajua wewe?
Kwa hakika ujuha ni relative.
Kwamba hujaelewa kinachoendelea ila unakenua kivyako vyako?🤣🤣
Mfano wako hauna uhusiano na kinachoengdelea.
Watu wanakufa kibudu, wenye mabasi wanachezea miundombinu, nyie mnachekelea kama mafisi!