- Thread starter
- #21
Wewe hujui kitu hawaonewi na wanalijuaiti hilo,wacha Latra wafanyekazi yao kama hawataridhika waende mahakamani
Nimetafiti na kujirisha kuwa wanaonewa.
1. Vifaa ni vya LATRA
2. Wenye mabasi hawana namna ya kujua vinafanya kazi au la.
3. Wenye mabasi hawana namna ya kujua ni vizima au vibovu.
Kinachobakia hapo ni mbuzi kwenye gunia siyo?
Wizi wa wazi hatutaacha kuupigia kelele kuwafahamisha wote umuhimu wa kuungana kuwakataa wahuni!