Wewe hujui kitu hawaonewi na wanalijuaiti hilo,wacha Latra wafanyekazi yao kama hawataridhika waende mahakamani
wewe tetea ujinga tu, waki over-speed na kuchinja watu hao wewe ndiyo wa kwanza kulalamika LATRA wamelala
VTS zinakua tampered wewe unakenua meno na kusema wanaonewa, bure kabisa
Mimi ni mmiliki wa mabasi na naunga mkono Latra.Nimetafiti na kujirisha kuwa wanaonewa.
1. Vifaa ni vya LATRA
2. Wenye mabasi hawana namna ya kujua vinafanya kazi au la.
3. Wenye mabasi hawana namna ya kujua ni vizima au vibovu.
Kinachobakia hapo ni mbuzi kwenye gunia siyo?
Wizi wa wazi hatutaacha kuupigia kelele kuwafahamisha wote umuhimu wa kuungana kuwakataa wahuni!
Mimi ni mmiliki wa mabasi na naunga mkono Latra.
Raha ya basi likimbie,,ajali Matokeo tuuu..
Mkiambiwa suala hili pia katiba mpya inahusika, mtabisha sana
4 April 2022
"HII ni MAHAKAMA PEKEE INAYOSIKILIZA KESI za HAKI za BINADAMU AFRIKA" - RAIS wa MAHAKAMA ya AFRIKA JAJI IMANI ABOUD
Jaji Imani Daud Aboud rais wa Mahakama ya Afrika anafafanua suala la haki za binadamu na watu, lina uwigo mtambuka mpana sana .
Jaji Imani Aboud anasema kwa mfano hata wafanyabiashara wakifilisiwa na mamlaka za serikali kupitia amri za kufungiwa biashara, masuala ya kodi n.k wanaweza kwenda katika Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu na watu, kwani suala hilo linahusu haki za binadamu kuvunjwa kupitia wenye biashara kukosa kipato na kukabiliwa na
Sisi Watanzania tunaujuaji wakati mwingine wa kipuuzi sana.PingaPinga FC bana, wadereva wakiendesha kasi utasikia LATRA wamelala
LATRA wakifanya kazi yao, bado malalamiko na kupingapinga ovyo
Mahakama hii ya Afrika makao yake yapo Tanzania mjini Arusha hivyo mna bahati kubwa sana lakini mnamwachia Freeman Mbowe, Tundu Lissu na CHADEMA wadai haki bila ninyi kuchukua hatua kufika mahakamani au kutumia haki ya kupiga kelele n.kMahakama huru
Sisi Watanzania tunaujuaji wakati mwingine wa kipuuzi sana.
Sio kweli kwamba vile ving'amuzi hawavichezei ili visifanye kazi kwa uhalisia wake.
Matajiri wa hayo mabasi mpaka watumishi wao wanajua vizuri michezo hiyo.
UKWELI MABASI MENGI WAMEISHA CHEZEA HIVYO VING'AMUZI ILI KUKWEPA FAINI WANAPOZIDISHA MWENDO.
Mahakama hii ya Afrika makao yake yapo Tanzania mjini Arusha hivyo mna bahati kubwa sana lakini mnamwachia Freeman Mbowe, Tundu Lissu na CHADEMA wadai haki bila ninyi kuchukua hatua kufika mahakamani au kutumia haki ya kupiga kelele n.k
Unaenda mbele unarudi nyuma?Mlisema ukandamizaji unafanywa na rais Magufuli leo hayupo bado mnalia
USSR
Kama kweli wanania ya dhati ya wanachokisema ,mbona hawajataja mabasi yenyewe? business as usualWamiliki wa bus anaweza kufatilia mwenendo wa bus lake na kujua lipo wapi na inatembea speed ngapi kwa saa,
Mfumo wa VTS unaonwa na pande zote mbili LATRA pamoja na mmiliki,
View attachment 2525595
Nimekuwekea link hapo juu ambapo mmiliki wa bus akishafunga VTS hupewa username na password kumuwezesha kuona speed ya bus lake likiwa safarini,
Kabla ya kufungia hizi gari mmiliki wa company
1.hupewa onyo kwa njia ya mdomo LATRA makao makuu
2.hupewa onyo kwa njia ya barua
3. Kufungia bus husika kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Mleta mada ni vyema ungefanya tafti na kupaka ukweli wa habari.
Pia Dereva wanafungiwa kwa “negligence driving” na mengine mengi siwezi kuandika yote.
Wamiliki wa bus anaweza kufatilia mwenendo wa bus lake na kujua lipo wapi na inatembea speed ngapi kwa saa,
Mfumo wa VTS unaonwa na pande zote mbili LATRA pamoja na mmiliki,
View attachment 2525595
Nimekuwekea link hapo juu ambapo mmiliki wa bus akishafunga VTS hupewa username na password kumuwezesha kuona speed ya bus lake likiwa safarini,
Kabla ya kufungia hizi gari mmiliki wa company
1.hupewa onyo kwa njia ya mdomo LATRA makao makuu
2.hupewa onyo kwa njia ya barua
3. Kufungia bus husika kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Mleta mada ni vyema ungefanya tafti na kupaka ukweli wa habari.
Pia Dereva wanafungiwa kwa “negligence driving” na mengine mengi siwezi kuandika yote.
Uhai wa maisha ya abiria ni muhimu kuliko hoja yakoMlisema ukandamizaji unafanywa na rais Magufuli leo hayupo bado mnalia
USSR
Uhai wa maisha ya abiria ni muhimu kuliko hoja yako
Wengine ndio wanafuata garege na kuandika tu faini za 250000 hata tatu nne na usipo lips ana peleka gari Yard.Wamegeuza ni mradi mkubwa na faida za magari Sasa wanapata wao.Watoa huduma ya ving'amuzi Wana Zima kusudi Kisha hawa LATRA Wana andika faini bila hata kuona gari .Wakati mwingine lilisimama muda liko garege linaweza kupata hata faini 4 hukohuko garege.Ni uonevu uliopitiliza
Acheni ujuha, tokeni nje ya jiji la DSM namuone jinsi.mabasi yanaendeshwa utafikiri madereva ni vichaa.
Wiki tatu tu zimepita na abiria wasio na hatia wanachinjwa kama kuku.
Nenda hadi Morogoro ushuhudie mabasi yanavyoendeshwa.
Huyo ni mjumbe kutoka kenua kenua FCUnaenda mbele unarudi nyuma?