KERO LATRA iboreshe usafiri njia hizi ili kupunguza adha

KERO LATRA iboreshe usafiri njia hizi ili kupunguza adha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Naomba mamlakA LATRA iangalie hiki suala la usafiri hapa hususaani Mbezi Luiz, Makongo na Goba una ulazima Gani Gari za Makongo ziishie Makongo Makumbusho?

Napendekeza ruti ya
1. Makongo ianzie Tegeta Madale njia nne Goba Makongo na Makumbusho
2. Route ya mawasiliano Makongo - Goba - Tegeta
3. Mbezi Luis - Makongo - Goba - Mwenge
 
Back
Top Bottom