Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Mama alisema nauli zitapanda tu. So kuwa mpoleLatra tunaomba muangalie nauli za kwenda kingorwila zipo juu sana kuliko uhalisia, Leo hii kutoka Moro mjin kwenda kingorwila ni sh 800, sehemu Ambyo ni km 12 tu na ni full Lami. Abiria kiukwel tunaumia
Kwa Hili.
mifano michache, ruti ya kwenda lukobe nin700 na barabaran ni mbovu, na ni km 16 ruti ya mkundi mia 600 na sehem hiz zotë ni Zaid ya km 12. Tafadhal angalien hili.
Haingaliwi umbali tu bali pia na uwezekano wa shusha pandisha abiria, ndio maana Dar unaweza kwenda umbali mrefu kwa sh 700 tu.
Sasa kutoka Moro mjini to kingurwila hamna abiria pale mashamba mengi
Wale wanapiga faida kama kawa sehmu za kushusha na kumpakia ni nyingi ukianzia mjin kwwnda mikese, na Hpo Safar hainzii mjin, ni suala la kuangalia Kwa ukarib Zaid Kwa mamlaka husikaHaingaliwi umbali tu bali pia na uwezekano wa shusha pandisha abiria, ndio maana Dar unaweza kwenda umbali mrefu kwa sh 700 tu.
Sasa kutoka Moro mjini to kingurwila hamna abiria pale mashamba mengi
Uko sahihiWale wanapiga faida kama kawa sehmu za kushusha na kumpakia ni nyingi ukianzia mjin kwwnda mikese, na Hpo Safar hainzii mjin, ni suala la kuangalia Kwa ukarib Zaid Kwa mamlaka husika