LATRA Morogoro angalien ruti ya Moro Mjini kwenda Kingorwila nauli 800 wakati ni km 12 to 13 kwa wastani

Dodoma leo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
1,336
Reaction score
1,658
Latra tunaomba muangalie nauli za kwenda kingorwila zipo juu sana kuliko uhalisia, Leo hii kutoka Moro mjin kwenda kingorwila ni sh 800, sehemu Ambyo ni km 12 tu na ni full Lami. Abiria kiukwel tunaumia
Kwa Hili.

mifano michache, ruti ya kwenda lukobe nin700 na barabaran ni mbovu, na ni km 16 ruti ya mkundi mia 600 na sehem hiz zotë ni Zaid ya km 12.

Tafadhal angalien hili.
 
Latra tunaomba muangalie nauli za kwenda kingorwila zipo juu sana kuliko uhalisia, Leo hii kutoka Moro mjin kwenda kingorwila ni sh 800, sehemu Ambyo ni km 12 tu na ni full Lami. Abiria kiukwel tunaumia
Kwa Hili.
mifano michache, ruti ya kwenda lukobe nin700 na barabaran ni mbovu, na ni km 16 ruti ya mkundi mia 600 na sehem hiz zotë ni Zaid ya km 12. Tafadhal angalien hili.
Mama alisema nauli zitapanda tu. So kuwa mpole
 
Tupo kwenye uchumi wa kati kwahiyo bei haiwezi kuwa km ya zamani. 800 pesa ndogo sana, wangefanya 1000
Kidumu chama cha mapinduzi.
 
Haingaliwi umbali tu bali pia na uwezekano wa shusha pandisha abiria, ndio maana Dar unaweza kwenda umbali mrefu kwa sh 700 tu.
Sasa kutoka Moro mjini to kingurwila hamna abiria pale mashamba mengi
 
Wale wanapiga faida kama kawa sehmu za kushusha na kumpakia ni nyingi ukianzia mjin kwwnda mikese, na Hpo Safar hainzii mjin, ni suala la kuangalia Kwa ukarib Zaid Kwa mamlaka husika
 
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom