Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
2-8-2026 mafuta ya Diesel na Pertol yameshuka zaidi, LATRA simameni na Mheshimiwa rais na wanyonge, shusheni nauli mfumukom wa bei uondoke.
Nauli zilipandishwa kwenye Marekebisho yalitangazwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kupitia Gazeti la Serikali mnamo Aprili 17, 2026, na kutoa muda wa siku 14 kabla ya kuanza kutumika.
BABAJI NA BODA BODA:
LATRA , kama mmetambua boda na daladala ni usafiri rasmi, tunaomba muweke nauli rasmi, hasa zile za kuchangia.

Moja kwa moja kwenye kero yangu:
Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam .
Bei mpya
Wataalamu mje kufafanua.
Naongea kkwa mwananchi mwenye kipato cha chini kabisa na Kero yangu naielekeza kwa LATRA (mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini) ,vp mbona mpo kimya...

- Petroli: Sh 3,990 kwa lita
- Dizeli: Sh 4,182 kwa lita
Wataalamu mje kufafanua.
Naongea kkwa mwananchi mwenye kipato cha chini kabisa na Kero yangu naielekeza kwa LATRA (mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini) ,vp mbona mpo kimya...
- Mkono Mmoja
- bei bei mpya bei ya mafuta dizeli ewura kero latra mafuta mbona mpya nauli petroli petroli na dizeli
- Replies: 15
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko