LATRA Tanga, RTO Tanga, nauli ya daladala ni kiasi gani kwa Tanga?

LATRA Tanga, RTO Tanga, nauli ya daladala ni kiasi gani kwa Tanga?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Sasa daladala zinatoza Tsh 800. Zilipanda na kuwa Tsh 600, baada ya siku mbili wamepandisha mpaka Tsh 800.

LATRA Tanga, bei elekezi ni ipi?
 
Back
Top Bottom