Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Chezea vyote sio msiba; huko ni kwetu sote.
Vifo vinavyotokana nna matatizo ya kupumua ni vingi sana siku hizi.Ndio yale yale. Issue ni magari ya misiba kulipia kodi. Chezea vyote sio msiba; huko ni kwetu sote.
Busara ilikuwa kuondoa kabisa kodi pengine hata serikali ku- subsidize ili kupunguza kasi ya maeneo ya mijini kujaa makaburi.
Simple maths.
Hawa jamaa wapumbavu sana....msiba sio mchezo....unajua wakati mwingine unashindwa kuelewa hawa watu kama wazima kiakili au mafala fulani yamerundikana ofisini.Ndio yale yale. Issue ni magari ya misiba kulipia kodi. Chezea vyote sio msiba; huko ni kwetu sote.
Busara ilikuwa kuondoa kabisa kodi pengine hata serikali ku- subsidize ili kupunguza kasi ya maeneo ya mijini kujaa makaburi.
Simple maths.
Sijaelewa, yaani ukikodi gari kupeleka maiti say Kagera hiyo coaster inatozwa 1 milioni? wakati gharama za kukodi gari ni 2.5 MTsh. Toa gharama za safari kwa mwenye gari, anabakiwa na nini kama wapuuzi hao watataka 1 milioni?Mabasi madogo yenye uwezo wa kubeba abiria 14 hadi 30 ndio walengwa kwa sasa.
Hiyo ni baada ya kulipia vibali vyote yaan hii nimekuja kua juu ya kodi nyingine..ndo maana wanalalamikaHii tozo ni kwa kila safari au ukilipa Million 1 unakuwa umemaliza kwa mwaka mzima.
Hahhaah ila inafika sehem hata ubinadamu hakunaNdiyo maana kaimu mkurugenzi wa Tarime aliweka jeneza la marehemu kwenye carrier huenda alikuwa anakwepa hizi gharama
Hapana mkuu hiyo milion moja ni kwa mwaka. Shida ni kua hii tozo inakuja juu ya tozo nyingine. Hawa wamiliki wa haya magari wana vibali na kodi nyingine sasa hii tozo ya latra inaongeza garama kubwa kwao.Sijaelewa, yaani ukikodi gari kupeleka maiti say Kagera hiyo coaster inatozwa 1 milioni? wakati gharama za kukodi gari ni 2.5 MTsh. Toa gharama za safari kwa mwenye gari, anabakiwa na nini kama wapuuzi hao watataka 1 milioni?
Mkuu Falcon wewe Kama mdau mkuu wa hi sekta ya usafirishaji, Naomba kwa niaba ya JF uweke kwa kina hili suala lilivyo.Juzi nilikuwa kwenye kikoa na latra kuhusu hilo sakata ni kama latra hawako tayari kushirikiana na wadau wa usafirishaji
Au huenda kiburi chao wanakipata kutoka kwenye mamlaka makubwa
Nani inamuingia akilini coaster ilipe gharama kubwa za vibali kuliko bus kubwa
There is so much more hawa majamaa ni kama huwa hawaend field kabla ya kuamua maamuzi yao
Wanazengo wanasemaga mitano tena.Hiyo ni baada ya kulipia vibali vyote yaan hii nimekuja kua juu ya kodi nyingine..ndo maana wanalalamika