LATRA yakanusha kuanzisha tozo za magari ya kubeba maiti. Yasema magari madogo yanayokodishwa ndio yatatozwa

LATRA yakanusha kuanzisha tozo za magari ya kubeba maiti. Yasema magari madogo yanayokodishwa ndio yatatozwa

Chezea vyote sio msiba; huko ni kwetu sote.

yaan brother hichi kipande nimekisoma kwa uchungu sana
hasa nikiangalia hii picha hii
yhW-DhRr.jpg

wanajisahau sana
Mwenzake hakujua atawekwa juu ya carrier hivyo

lakini nawakumbusha Sote tutaishia hapa
utakimbizana saaana na ya dunia lkn utaishia hapa
images%20(9).jpg
images%20(10).jpg

namna tutakavyokukumbuka kwa manzuri na matendo mema ndivyo KABURI lako litakavyokuwa heri kwako
Tusijisahau waungwana tufanye yaliyo MEMA
 
Ndio yale yale. Issue ni magari ya misiba kulipia kodi. Chezea vyote sio msiba; huko ni kwetu sote.

Busara ilikuwa kuondoa kabisa kodi pengine hata serikali ku- subsidize ili kupunguza kasi ya maeneo ya mijini kujaa makaburi.

Simple maths.
Vifo vinavyotokana nna matatizo ya kupumua ni vingi sana siku hizi.
 
Mimi siwalaumu sana latra kwa hali niliona iona juzi Ni kuwa wanatekeleza maelekezo ya serikali kuu
 
Ndio yale yale. Issue ni magari ya misiba kulipia kodi. Chezea vyote sio msiba; huko ni kwetu sote.

Busara ilikuwa kuondoa kabisa kodi pengine hata serikali ku- subsidize ili kupunguza kasi ya maeneo ya mijini kujaa makaburi.

Simple maths.
Hawa jamaa wapumbavu sana....msiba sio mchezo....unajua wakati mwingine unashindwa kuelewa hawa watu kama wazima kiakili au mafala fulani yamerundikana ofisini.
No morals kabisa.
 
Mabasi madogo yenye uwezo wa kubeba abiria 14 hadi 30 ndio walengwa kwa sasa.
Sijaelewa, yaani ukikodi gari kupeleka maiti say Kagera hiyo coaster inatozwa 1 milioni? wakati gharama za kukodi gari ni 2.5 MTsh. Toa gharama za safari kwa mwenye gari, anabakiwa na nini kama wapuuzi hao watataka 1 milioni?
 
Shime wananchi tuongeze kufa ili taifa lipate mapato ya kuwezesha miradi ikamilike.
 
Uvivu wa kubuni namna ya kutoza na kukusanya kodi, hawakusoma wala kuelewa elimu ya kodi, walikrem tu..
 
Sijaelewa, yaani ukikodi gari kupeleka maiti say Kagera hiyo coaster inatozwa 1 milioni? wakati gharama za kukodi gari ni 2.5 MTsh. Toa gharama za safari kwa mwenye gari, anabakiwa na nini kama wapuuzi hao watataka 1 milioni?
Hapana mkuu hiyo milion moja ni kwa mwaka. Shida ni kua hii tozo inakuja juu ya tozo nyingine. Hawa wamiliki wa haya magari wana vibali na kodi nyingine sasa hii tozo ya latra inaongeza garama kubwa kwao.
Kwa mujibu nilivyosikia taarifa ya habari
 
Juzi nilikuwa kwenye kikoa na latra kuhusu hilo sakata ni kama latra hawako tayari kushirikiana na wadau wa usafirishaji

Au huenda kiburi chao wanakipata kutoka kwenye mamlaka makubwa

Nani inamuingia akilini coaster ilipe gharama kubwa za vibali kuliko bus kubwa

There is so much more hawa majamaa ni kama huwa hawaend field kabla ya kuamua maamuzi yao
Mkuu Falcon wewe Kama mdau mkuu wa hi sekta ya usafirishaji, Naomba kwa niaba ya JF uweke kwa kina hili suala lilivyo.
 
Watu wengi wanatumia coster sana kusafirisha maiti na wasindikizaji hapo wamelenga pesa tu
 
Tozo ya nini ?
Na kukodishwa kwa kitu gani harusi, msiba au mtoko ?, Na kama ni msiba kuna gari kubwa special ya kubeba watu wa misiba au nyingi huwa ni za shughuli tofauti tofauti ?, Na kama nikitoa gari bure kwa wadau ili wachangie mafuta na dereva ?

Kosa sio la huyu bwana pekee bali waandishi wetu ambao hawahoji bali kuchukua habari na kuileta kama ilivyo.....
 
Back
Top Bottom