Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Chezea vyote sio msiba; huko ni kwetu sote.
yaan brother hichi kipande nimekisoma kwa uchungu sana
hasa nikiangalia hii picha hii
wanajisahau sana
Mwenzake hakujua atawekwa juu ya carrier hivyo
lakini nawakumbusha Sote tutaishia hapa
utakimbizana saaana na ya dunia lkn utaishia hapa
namna tutakavyokukumbuka kwa manzuri na matendo mema ndivyo KABURI lako litakavyokuwa heri kwako
Tusijisahau waungwana tufanye yaliyo MEMA