LATRA yatangaza njia mpya za Daladala ikiwemo ya kupitia Makongo Juu

LATRA yatangaza njia mpya za Daladala ikiwemo ya kupitia Makongo Juu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
TANGAZO ROUTE ZA MAKONGO JUU fnl_page-0001 (1).jpg

Siku chache baada ya Mwananchi kutoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuhusu njia ya Makongo Juu kuwa na uhaba wa Daladala mamlaka hiyo imetoa mwongozo ukiwataka Wadau kujitokeza kuongeza huduma ya usafiri katika njia hiyo.

Taarifa ya LATRA imeeleza "Katika hatua ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya usafiri wa abiria, inatangaza njia mpya (New Route) na zenye uhitaji wa kuongeza idadi ya magari..."

Kusoma alichoandika Mdau awalim bofya hapa ~ Kila siku tunalia na LATRA, Njia ya Makongo Juu hadi Goba hakuna Daladala au mna ubia na Bajaj zinazotumika huko?
 
Afadhali maana jamaa wa Bajaji walikuwa wanatupiga bila upinzani
 
Bajaji za huko wanaweka bei wako wanajisikia.
 
Back
Top Bottom