Wasoma mita wa tanesco wapo wapi? Wanakaba? Nanyinyi fanyeni kazi nyingine.Sisi wapiga debe tuanze kujifunza kukaba watu sasa
Una ubongo wa kuku.Hapa ndo kusema maajenti na wapiga debe nchi nzima kwisha habari yao!!! Mbona tunaboost unemployment badala ya kuidhibiti?
Kumbe yawezekana hata wale maadui watatu wa tangu uhuru (ujinga, maradhi na umaskini) tuliwabeba hivi hivi mpaka saivi bado tunahangaika nao eeh??
Mtandao upi?Wametoa gepu kwa vishoka na mataleli wa mitandaoni!
Watakula walikopeleka mboga mkuu.Madalali watakula wapi sasa
Unajibu hoja kwa hoja a sio kwa kutukana bichwa kubwa akili kisoda acha undezi, nilichosema hapo nikuitaka serikali kuweka uwelewa juu ya hilo sio mimi ndiyo sielewi nakazania kuna wengi wanajiuliza maswali huo mfumo utaendaje wewe unajua tayari acha wengine amabao hawajui wajifunze zaidi, sahivi shule nyingi zinafunguliwa kuna wazazi hawajui hilo kwahiyo kuzuia taharuki elimu iwafikie watu, wanafunzi wanarudi mashuleni wasije pata tafrani, ila akili zako zilivyo ndogo sasa umenikomalia mimi we kweli hamnazo, serikali izidi kutoa elimu na ufafanzui zaidi zile taarifa za awali bado hazijawafikia na wengine, uanjikuata una akili kumbe tope tuWe ni zaidi ya mjinga!
Elimu elimu gani? Kwenda kukata ticket ubungo unataka upewe elimu gani?
Utaenda kama kawaida ubungo kukata ticket, ila badala ya kupewa ticket za kwenye kitabu, utapewa ticket kutoka kwenye mashine. Kama ilivyo kwa mwendokasi
Tumebomoa wapi hebu nikumbushe isije ikawa ni kule kwa mwendokasi.Tunajenga hapa kwa kubomoa kule, sio???? Tutafika lini mwisho wa ujenzi sasa?
Yani wewe ni zero brain, empty brain, kumbe wewe ni mjinga hiv huwe unaficha ujinga wako, huna akili.We ni zaidi ya mjinga!
Elimu elimu gani? Kwenda kukata ticket ubungo unataka upewe elimu gani?
Utaenda kama kawaida ubungo kukata ticket, ila badala ya kupewa ticket za kwenye kitabu, utapewa ticket kutoka kwenye mashine. Kama ilivyo kwa mwendokasi
We ndio maana nikakuambia huna akili.Unajibu hoja kwa hoja a sio kwa kutukana bichwa kubwa akili kisoda acha undezi, nilichosema hapo nikuitaka serikali kuweka uwelewa juu ya hilo sio mimi ndiyo sielewi nakazania kuna wengi wanajiuliza maswali huo mfumo utaendaje wewe unajua tayari acha wengine amabao hawajui wajifunze zaidi, sahivi shule nyingi zinafunguliwa kuna wazazi hawajui hilo kwahiyo kuzuia taharuki elimu iwafikie watu, wanafunzi wanarudi mashuleni wasije pata tafrani, ila akili zako zilivyo ndogo sasa umenikomalia mimi we kweli hamnazo, serikali izidi kutoa elimu na ufafanzui zaidi zile taarifa za awali bado hazijawafikia na wengine, uanjikuata una akili kumbe tope tu
Wewe ni mjinga tena zaidi ya mjinga, ticket za electronic ni kama zile za mwendokasi.Yani wewe ni zero brain, empty brain, kumbe wewe ni mjinga hiv huwe unaficha ujinga wako, huna akili.
Hii nchi ina watu wengi wajinga, hiki ndio nilichogundua.Kuna wakati naungana sana na JPM japo sio kwa kila jambo lake. Hawa LATRA wazee wa kutishiana na mapanga je wamejipqnga vipi? Je wameshirikisha wadau wote wametengeneza mfumo wao ama wanatarajia hii mitandao yao simu? Kutoa vipanga wale wakatisha tiketi ni moja ya jambo la maana sana na hii itasaidia sana ukwepaji kodi. Wasiwasi wangu ni kuwa kama DART na UDART wamefeli kwenye mfumo wa kukatisha tiketi kwa mtandao haya mabasi yetu mfano Champion na Upendo ambayo mtu anapanda na bata na kinu yataweza. Ni jambo la kusubiri na kuona.
Usinielekeze mimi we fala ungekua una akili ungenielewa nachozungumza tulia basi,We ndio maana nikakuambia huna akili.
Sasa hapo unataka ujue nini? Na unahisi taharuki ipi?
Unaenda ubungo kama kawaida, badala ya kupewa ticket za kwenye vitabu utapewa ticket za kwenye mashine.
Sasa hapo unahitaji elimu gani? Kilichobadilika ni ticket tu unazopewa
Kwa hiyo unataka ufundishwe jinsi ya kufika stand ya mabasi? Au?
Wenzetu huwa hamna ubongo?Kwa mwendo huu na maduka ya kawaida yataondolewa mitaani, kutajengwa supermarket kubwa Kila mtaa kwaajili ya mahitaji ya nyumbani tulipe kidigital yaani tukifika huko tutakuwa Kama ulaya.
Je na sisi tunaopandia mabasi njiani huku vijijini ambako hakuna vituo au stand za mabasi itakuwaje? Tutajuaje nauli ya kule tuendako ili tukate tiketi? Tuelimishane.Sijafafanua
Hiyo ndio Taarifa rasmi imenyooka
Katika hao watanzania wengi wajinga usisahau na wazazi wako mkuuHii nchi ina watu wengi wajinga, hiki ndio nilichogundua.
Mabasi mengi yanakatisha hizo ticket
Hizo ticket badala ya kuchanwa kwenye kitabu, zitakuwa zinatolewa na mashine kama za efd.
Sasa hapo we abiria unataka upate elimu gani?
Ukienda ubungo badala ya kupewa ticket ya kitabu, utapewa ticket kutoka kwennye mashine kama za efd, sasa hapo unataka elimu gani?
Hao walio ndani ndani wanahitaji uelewa gani? Kwani sasa hivi wakienda kukata ticket wanaendaje? Nimekueleza badala ya kupewa ticket za kwenye kitabu watapewa ticket za kwenye mashine kama za efd kutoka kwa haohao mawakala ambaonkila siku wanakata ticket.Usinielekeze mimi we fala ungekua una akili ungenielewa nachozungumza tulia basi,
Nimesema jamii kuna maeneo wako ndani ndani na hata wa mjini siamini kama wote wana uelewa, sasa unatukana watu kwa ujinga wako wa kutoelewa,
Mwanzo ticket mlikuwa mnapataje? Si utaingia ndani ya basi na konda atakukatia ticket kama kawaida kulingana na nauli ya unapoenda.Je na sisi tunaopandia mabasi njiani huku vijijini ambako hakuna vituo au stand za mabasi itakuwaje? Tutajuaje nauli ya kule tuendako ili tukate tiketi? Tuelimishane.
Hawawezi kuwa kama wewe!Katika hao watanzania wengi wajinga usisahau na wazazi wako mkuu
ITATENGENEZA FURSA ZINGINE KWA WENYE SMART PHONE HUKO MIKOANI FUNGUA BANDA ANDIKA UNAKATISHA TIKETI KWA MTANDAO WE KUWA TU NA SMARTPHONESogea kweny network kata