LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

Hapa ndo kusema maajenti na wapiga debe nchi nzima kwisha habari yao!!! Mbona tunaboost unemployment badala ya kuidhibiti?

Kumbe yawezekana hata wale maadui watatu wa tangu uhuru (ujinga, maradhi na umaskini) tuliwabeba hivi hivi mpaka saivi bado tunahangaika nao eeh??
Una ubongo wa kuku.
Hao ma-agent wanakosaje ajira?? Wao ndio watakata hizo ticket, kilichobadilika ni ticket tu.
Hao ma-agent watapewa mashine kama zile za efd kukata ticket na sio vitabu.
Superfeo, darlux, nbs, shabiby, hao wote mbona wana agents, na wanatoa hizo tickets?
 
Wametoa gepu kwa vishoka na mataleli wa mitandaoni!
Mtandao upi?
Unaenda ubungo kama kawaida, ila badala ya kukatiwa ticket za kwenye kitabu utakatiwa tickets za kwenye mashine zile kama za efd.
 
We ni zaidi ya mjinga!
Elimu elimu gani? Kwenda kukata ticket ubungo unataka upewe elimu gani?
Utaenda kama kawaida ubungo kukata ticket, ila badala ya kupewa ticket za kwenye kitabu, utapewa ticket kutoka kwenye mashine. Kama ilivyo kwa mwendokasi
Unajibu hoja kwa hoja a sio kwa kutukana bichwa kubwa akili kisoda acha undezi, nilichosema hapo nikuitaka serikali kuweka uwelewa juu ya hilo sio mimi ndiyo sielewi nakazania kuna wengi wanajiuliza maswali huo mfumo utaendaje wewe unajua tayari acha wengine amabao hawajui wajifunze zaidi, sahivi shule nyingi zinafunguliwa kuna wazazi hawajui hilo kwahiyo kuzuia taharuki elimu iwafikie watu, wanafunzi wanarudi mashuleni wasije pata tafrani, ila akili zako zilivyo ndogo sasa umenikomalia mimi we kweli hamnazo, serikali izidi kutoa elimu na ufafanzui zaidi zile taarifa za awali bado hazijawafikia na wengine, uanjikuata una akili kumbe tope tu
 
Kuna wakati naungana sana na JPM japo sio kwa kila jambo lake. Hawa LATRA wazee wa kutishiana na mapanga je wamejipqnga vipi? Je wameshirikisha wadau wote wametengeneza mfumo wao ama wanatarajia hii mitandao yao simu? Kutoa vipanga wale wakatisha tiketi ni moja ya jambo la maana sana na hii itasaidia sana ukwepaji kodi. Wasiwasi wangu ni kuwa kama DART na UDART wamefeli kwenye mfumo wa kukatisha tiketi kwa mtandao haya mabasi yetu mfano Champion na Upendo ambayo mtu anapanda na bata na kinu yataweza. Ni jambo la kusubiri na kuona.
 
Yani wewe ni zero brain, empty brain, kumbe wewe ni mjinga hiv huwe unaficha ujinga wako, huna akili.
 
We ndio maana nikakuambia huna akili.
Sasa hapo unataka ujue nini? Na unahisi taharuki ipi?
Unaenda ubungo kama kawaida, badala ya kupewa ticket za kwenye vitabu utapewa ticket za kwenye mashine.
Sasa hapo unahitaji elimu gani? Kilichobadilika ni ticket tu unazopewa
Kwa hiyo unataka ufundishwe jinsi ya kufika stand ya mabasi? Au?
 
Kwa mwendo huu na maduka ya kawaida yataondolewa mitaani, kutajengwa supermarket kubwa Kila mtaa kwaajili ya mahitaji ya nyumbani tulipe kidigital yaani tukifika huko tutakuwa Kama ulaya.
 
Wewe ni mjinga tena zaidi ya mjinga, ticket za electronic ni kama zile za mwendokasi.
Sasa hapo unataka upewe elimu gani?
Upewe elimu ya kufika stand ya mabasi au elimu ya kushikilia ticket??
Wanaotoka songea wanakatiwa hizo ticket na superfeo, ulitaka superfeo wawape elimu gani?
 
Kuna wakati naungana sana na JPM japo sio kwa kila jambo lake. Hawa LATRA wazee wa kutishiana na mapanga je wamejipqnga vipi? Je wameshirikisha wadau wote wametengeneza mfumo wao ama wanatarajia hii mitandao yao simu? Kutoa vipanga wale wakatisha tiketi ni moja ya jambo la maana sana na hii itasaidia sana ukwepaji kodi. Wasiwasi wangu ni kuwa kama DART na UDART wamefeli kwenye mfumo wa kukatisha tiketi kwa mtandao haya mabasi yetu mfano Champion na Upendo ambayo mtu anapanda na bata na kinu yataweza. Ni jambo la kusubiri na kuona.
Hii nchi ina watu wengi wajinga, hiki ndio nilichogundua.
Mabasi mengi yanakatisha hizo ticket
Hizo ticket badala ya kuchanwa kwenye kitabu, zitakuwa zinatolewa na mashine kama za efd.
Sasa hapo we abiria unataka upate elimu gani?
Ukienda ubungo badala ya kupewa ticket ya kitabu, utapewa ticket kutoka kwennye mashine kama za efd, sasa hapo unataka elimu gani?
 
We ndio maana nikakuambia huna akili.
Sasa hapo unataka ujue nini? Na unahisi taharuki ipi?
Unaenda ubungo kama kawaida, badala ya kupewa ticket za kwenye vitabu utapewa ticket za kwenye mashine.
Sasa hapo unahitaji elimu gani? Kilichobadilika ni ticket tu unazopewa
Kwa hiyo unataka ufundishwe jinsi ya kufika stand ya mabasi? Au?
Usinielekeze mimi we fala ungekua una akili ungenielewa nachozungumza tulia basi,

Nimesema jamii kuna maeneo wako ndani ndani na hata wa mjini siamini kama wote wana uelewa, sasa unatukana watu kwa ujinga wako wa kutoelewa,
 
Kwa mwendo huu na maduka ya kawaida yataondolewa mitaani, kutajengwa supermarket kubwa Kila mtaa kwaajili ya mahitaji ya nyumbani tulipe kidigital yaani tukifika huko tutakuwa Kama ulaya.
Wenzetu huwa hamna ubongo?
Unaenda standa ya mabasi, unafika kwa wakala unamlipa pesa ya nauli, na yeye anakupatia ticket kutoka kwenye mashine badala ya kwenye kitabu.
Hapo unataka upewe elimu gani?
 
Sijafafanua
Hiyo ndio Taarifa rasmi imenyooka
Je na sisi tunaopandia mabasi njiani huku vijijini ambako hakuna vituo au stand za mabasi itakuwaje? Tutajuaje nauli ya kule tuendako ili tukate tiketi? Tuelimishane.
 
Hii nchi ina watu wengi wajinga, hiki ndio nilichogundua.
Mabasi mengi yanakatisha hizo ticket
Hizo ticket badala ya kuchanwa kwenye kitabu, zitakuwa zinatolewa na mashine kama za efd.
Sasa hapo we abiria unataka upate elimu gani?
Ukienda ubungo badala ya kupewa ticket ya kitabu, utapewa ticket kutoka kwennye mashine kama za efd, sasa hapo unataka elimu gani?
Katika hao watanzania wengi wajinga usisahau na wazazi wako mkuu
 
Usinielekeze mimi we fala ungekua una akili ungenielewa nachozungumza tulia basi,

Nimesema jamii kuna maeneo wako ndani ndani na hata wa mjini siamini kama wote wana uelewa, sasa unatukana watu kwa ujinga wako wa kutoelewa,
Hao walio ndani ndani wanahitaji uelewa gani? Kwani sasa hivi wakienda kukata ticket wanaendaje? Nimekueleza badala ya kupewa ticket za kwenye kitabu watapewa ticket za kwenye mashine kama za efd kutoka kwa haohao mawakala ambaonkila siku wanakata ticket.
Sasa hapo unataka hao watu wa huko unaposema wapewe elimu gani?
Kinacjobadilika ni muonekano tu wa ticket, sasa hapo unataka wapewe elimu gani?
Wewe ni zaidi ya mjinga,
Nimekutolea mfano wa superfeo huko songea
 
Je na sisi tunaopandia mabasi njiani huku vijijini ambako hakuna vituo au stand za mabasi itakuwaje? Tutajuaje nauli ya kule tuendako ili tukate tiketi? Tuelimishane.
Mwanzo ticket mlikuwa mnapataje? Si utaingia ndani ya basi na konda atakukatia ticket kama kawaida kulingana na nauli ya unapoenda.
 
Back
Top Bottom