SimbaWaBoda
Member
- May 8, 2016
- 8
- 1
Kuna kitu kinaitwa Mobile POS, hio inaweza kua popote kwenye gari na njiani watu wakipanda, wanakatiwa tiketi popote pale. Sijui kama hii nayo itatatumika, lakini ndio ilivyo. Huu mfumo mzuri sana, ni watu tu kutoelewa.Mwanzo ticket mlikuwa mnapataje? Si utaingia ndani ya basi na konda atakukatia ticket kama kawaida kulingana na nauli ya unapoenda.
Msemaji mmoja hapa kasema ukataji tiketi utaendelea kufanyika kwenye ofisi za makampuni ya mabasi kwa kutumia mashine kama zile za EFD. Kwa hiyo sio issue ya kutumia smartphone!ITATENGENEZA FURSA ZINGINE KWA WENYE SMART PHONE HUKO MIKOANI FUNGUA BANDA ANDIKA UNAKATISHA TIKETI KWA MTANDAO WE KUWA TU NA SMARTPHONE
OK ASANTE SANAMsemaji mmoja hapa kasema ukataji tiketi utaendelea kufanyika kwenye ofisi za makampuni ya mabasi kwa kutumia mashine kama zile za EFD. Kwa hiyo sio issue ya kutumia smartphone!
Mpaka Sasa hivi hakuna kampuni ambayo ishafikia kutoza kiwango Cha chini Cha nauli za mabasi.Asilimia kubwa ya wachangiaji wa mada hii wamekurupuka kujibu bila hata kujua huo mfumo unafanyaje kazi
Lengo la technologia yoyote ni kufanya mambo yafanyike kwa speed, ufanisi na urahisi zaidi
Kwanza hapa nipende kuipongeza serekali maana abiria hua wanapigwa sana kwenye bei za tickets za vitabu ila kwa hizi za mashine itakua ngumu Kuweka udalali hivyo unalipia nauli halali iliyoandikwa kwenye ticket
Yaani hiyo ya mwanza ndo Bei elekezi sasaWatakuwa wehu,yaaani hii itawasadia wao/wenye mabasi kunufaika San kwa kudhibiti nauli na mapato.... Hivi unajua juzi tu Xmas abiria walikuwa wanakatiwa tiketi da-mwza Hadi 65k Ila mwenye gar/basi anafungiwa hesabu ya 30/35.
Sawa Ni tulipe kwa kielekrotoniki [emoji3581], japo waanze na Safari za mbali au zile nauli Ni 15k+
Welcome to the digital world. Hii ina maana kuwa sasakila mtu analazimika kulipa kodi
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao, vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote
Tahadhari: kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo, maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .
Nakulilia Tanzania
===============
View attachment 1668365
Hiyo ipo worldwide. Teknolojia inachukua baadhi ya kazi za watu.Jinsi uneployment inavyokuwa kwa kasi tatizo..
Watu lukuki watakosa ajira...
Nilishafikiria hilo,jambo,wapiga debe wajiupgrade kichwaniFursa hiyo kafungue ofisi unakuwa unawakatia tiketi kwa mtandao , unakuwa unalipwa buku au buku 2 kwa tiketi.
Mbona ndege Zina madalali au hujui ?
Kila Kitu Ni fursa
Kukata tiketi kwa mtandao ni faida kwa mwenye basi hasara kwa wapiga.Sasa mwenye basi ahame kwa sababu gani?Wenye mabasi hameni nchi na mali zenu kuna jirani kibao zinahitaji huduma za usafiri Ruanda,Burundi Malawi yaani msing'ang'anie sehemu haina tija,mtandao wasi wasi unataka watu wakate tiketi,
Ukisoma hilo Tangazo unaona wanaanzia route ya Dar to Mikoani. Maana yake Stand za Dsm ndio zinahusika na zoezi hili kwa sasa (ambayo ni Pilot area kwa lugha nyingine). Na nadhani watu wanachanganya. Kinachoagizwa hapo ni Ticketi za kielektroniki (kama ilivyobadilika madukani), na sio kulipia ticketi kwa njia ya mtandao(kama vile unapolipia luku).Sasa mtu wa buchosa ndani ndani akitaka ticket na kwenye mambo ya kutumia mtandao yuko chini inakuwaje hapo
Ova
Duh,is that troubled for u to understand,Yaani hiyo ya mwanza ndo Bei elekezi sasa
Kama tiketi hizi zitakatwa mtandaoni hapo wapiga debe hawatakuwa na kazi , lakini kama bado zitakatwa ofisini wapiga debe wataendelea kuula tuNilishafikiria hilo,jambo,wapiga debe wajiupgrade kichwani
Upendo ya Dar- Iringa nayo ilianza muda tu.Kwa hii mada ndio uone watu wengi hawana ubongo, mwingine mara anakuambia sijui simu vijijini hakuna mtandao. Mwingine sijui sio wote wenye smartphone.
Hawaelewi hata huo mfumo ni kama ule wa efd.
Kuna mabus wanatumia huu mfumo muda mrefu sana
wewe kichwa unacho?umeelewa nnachomaanisha au just unapost tu utumbo???mimi nnaongelea wale mateja pale Ubungo na Mikoani kama Msamvu Morogoro....Ustarabu upo Dodoma new Bus stand akuna mateja pale ndo nnachomaanisha,pia Ubungo akuna mawakala wale ni vishoka tuKivipi? Wenzetu sijui hata kama mna vichwa.
Mawakala watakuwepo kama kawaida na wao ndio watakuwa wanakata hizo ticket, wapiga debe wao kazi yao ni kukupeleka kwa wakala
Okk nmekupataUkisoma hilo Tangazo unaona wanaanzia route ya Dar to Mikoani. Maana yake Stand za Dsm ndio zinahusika na zoezi hili kwa sasa (ambayo ni Pilot area kwa lugha nyingine). Na nadhani watu wanachanganya. Kinachoagizwa hapo ni Ticketi za kielektroniki (kama ilivyobadilika madukani), na sio kulipia ticketi kwa njia ya mtandao(kama vile unapolipia luku).
Acha bana hii inatumika hata kwa stand za mikoani kwa baadhi ya mabasi ambayo yaliashaanza kukatisha hizi ticketsUkisoma hilo Tangazo unaona wanaanzia route ya Dar to Mikoani. Maana yake Stand za Dsm ndio zinahusika na zoezi hili kwa sasa (ambayo ni Pilot area kwa lugha nyingine). Na nadhani watu wanachanganya. Kinachoagizwa hapo ni Ticketi za kielektroniki (kama ilivyobadilika madukani), na sio kulipia ticketi kwa njia ya mtandao(kama vile unapolipia luku).