Laudit Mavugo aanza "kurudisha" hela ya usajili Simba S.C.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Yule mchezaji bora kabisa kuwahi kushudiwa katika ardhi ya Burundi, Laudit Mavugo a.k.a Tormentor hatimae aanza "kuirudishia" Simba S.C hela ilizotumia kumsajili.

Kwanini Mavugo ni bora?
1. Amemaliza msimu uliopita akiwa na mabao 30 katika ligi ya Burundi huku akifunga mabao 62 kwa misimu miwili.
2. Rekodi hizi hufukiwa na watu watatu tu katika Sayari hii.. Christian Ronaldo, Messi na Suarez.

Jamaa baada ya kusaini kuitumikia Simba S.C, alinena kauli nzito sana.

Baada ya kutua tu uwanja wa Ndege.. Mavugo akanena haya.. "Sikutaka kusaini pale Vital'O kwavile tu nina deni hapa Simba tangu mwaka jana, nimekuja kulipa. Hawa watu wa Simba ni wavumilivu sana, wangeweza kunishtaki lakini hawakufanya hivyo, waambie watulie nimekuja kuwafanyia kazi."

Pia baada ya kuanza mazoezi na "Mabingwa watarajiwa wa VPL msimu wa 2016/2017" akaangalia kwa umakini idara yake na kutamka maneno haya.. Namnukuu... "Hapa lazima niongeze jitihada ili nipate namba kwenye kikosi cha kwanza."

Mavugo kaanza vipi kurudisha hela ya usajili?
Jana katika mechi yake ya kwanza tu akiwa ndani ya Uzi bora kabisa wa Simba, Mavugo alishiriki katika upatikanaji wa magoli mawili ndani ya Dk. 45 tu. Moja kafunga, Jingine Ka assist.

Sasa Mavugo "Baba" ndo nini hiki unachotaka kufanya?
1. Kama katika Dk. 45 tu, goli 2 zimekuhusu, Je ukiongeza hizo jitihada ulizodai itakuaje??
2. Umetuahidi tutulie, utufanyie kazi.. Kama kazi yenyewe unayotaka kutufanyia ndiyo hii.. Hatulii mtu hapa.

Mwisho.. Mtani huku kwetu Mavugo kashaanza "kurudisha" hela yetu, huko kwenu vipi?? Yule Chirwa a.k.a Chura kasharudisha shilingi ngapi hadi Sasa??
 
Bora mngecheza na Kagera Sugar
 
Attachments

  • FB_IMG_1470715208174.jpg
    FB_IMG_1470715208174.jpg
    28.8 KB · Views: 100

Unacheza na timu ya kumi na moja kwenye ligi halafu unajisifia sasa si bora mngewaalika ndanda fc
 
Kuifunga timu kama AFC Leopards ni sawa na kuifunga Kariakoo Lindi, halafu mtu unaanza kujisifu kumbe umemfunga mbovu mwenzako tu! Timu iko nafasi ya 9 imefungwa magoli 21 katika mechi 21, je hiyo ni timu ya kujisifu kuifunga? Anyway hata mlipowafunga Polisi Morogoro mlichonga sana utafikiri mmechukua kikombe. Simba hawezi kuwa bingwa wa VPL 2016/2017, nafasi ya 3 inawahusu maana wastara hazumbuzi wa mbili havai moja.

upload_2016-8-9_8-26-29.png

Source: Kenya - Premier League 2016
 
Wazee Wakimataifa,

1. Matokeo yenu na Mtibwa Sugar jumamosi yalikuaje?

2. Mtibwa ilimaliza ya ngapi msimu uliopita katika ligi kuu?

Nakala: Makoye Matale
Mtibwa Sugar ni bora kuliko hao AFC Leopards. Mtibwa Sugar ilimaliza katika nafasi ya 5 ikiwa na pointi 50 katika mechi 30. Ni heri mngewaalika Mtibwa Sugar mkacheza nao mngepata upinzani wa kweli kuliko kualika timu dhaifu unaibamiza magoli kibao halafu unaanza kujisifu eti caliber ya Mavugo ni sawa na Christiano Ronaldo na Messi, ingekuwa ndiyo hivyo angerudi Tanzania kufanya nini maana ametokea Ulaya ambako ameshindwa majaribio katika timu ya daraja la II.
 
Baada ya kutua Simba S.C.. Mavugo anena mazito.
 
Mkuu Sembo nilishakwambia uwe mvumilivu tuu hapa Jukwaani mpaka msimu mzima wa 2016/2017 uishe usije ukakimbia tuu kama msimu uliopita ukaja kuibuka juzi.
Tuombe uzima tu Mkuu.. Ila kwa Moto uliowashwa.. Sijui ni nani wa kuuzima.
 
Ukweli kuhusu zile tetesi za kufeli majaribio nchini Ufaransa.
Mavugo alikwenda katika klabu ya Tours iliyopo nchini Ufaransa kwa lengo la kufanya majaribio.
Lakini alipofika walimtaka akae kwenye 'Academy' yao ili ajifunze zaidi soka la kimataifa kwa mwaka mmoja bila kulipwa mshahara badala ya kufanya majaribio kama alivyoambiwa wakati anaenda.
Jambo hilo lilikuwa gumu kwa straika huyo ndipo alipoamua kuja Simba S.C.
Hii inshu inanikumbusha, lile sakata la Shomari Kapombe.

cc Makoye Matale
 
Kuifunga timu kama AFC Leopards ni sawa na kuifunga Kariakoo Lindi, halafu mtu unaanza kujisifu kumbe umemfunga mbovu mwenzako tu! Timu iko nafasi ya 9 imefungwa magoli 21 katika mechi 21, je hiyo ni timu ya kujisifu kuifunga? Anyway hata mlipowafunga Polisi Morogoro mlichonga sana utafikiri mmechukua kikombe. Simba hawezi kuwa bingwa wa VPL 2016/2017, nafasi ya 3 inawahusu maana wastara hazumbuzi wa mbili havai moja.

View attachment 378284

Source: Kenya - Premier League 2016
Hukumu yako kwa mpira ni mbovu sana, leicester ilikaribia kushuka daraja ikaja beba ndoo.
 
Kuifunga timu kama AFC Leopards ni sawa na kuifunga Kariakoo Lindi, halafu mtu unaanza kujisifu kumbe umemfunga mbovu mwenzako tu! Timu iko nafasi ya 9 imefungwa magoli 21 katika mechi 21, je hiyo ni timu ya kujisifu kuifunga? Anyway hata mlipowafunga Polisi Morogoro mlichonga sana utafikiri mmechukua kikombe. Simba hawezi kuwa bingwa wa VPL 2016/2017, nafasi ya 3 inawahusu maana wastara hazumbuzi wa mbili havai moja.

View attachment 378284

Source: Kenya - Premier League 2016

....ungekuwa mchambuzi mzuri ungejiuliza, wako nafasi ya tisa kwa tofauti ya pointi ngapi na aliye nafasi ya tatu!, baada ya mechi mbili wanaweza kuwa nafasi ya tatu!
 
Hawa wa matopeni si juzi tu wamepigwa na timu ya daraja la pili KMC
 
Mkuu Sembo nilishakwambia uwe mvumilivu tuu hapa Jukwaani mpaka msimu mzima wa 2016/2017 uishe usije ukakimbia tuu kama msimu uliopita ukaja kuibuka juzi.

Hivi mbwembwe hajaanza leo hata mwaka jana alianza,hivi walivyoanza kufungwa akakimbia JF
 
Mtibwa Sugar ni bora kuliko hao AFC Leopards. Mtibwa Sugar ilimaliza katika nafasi ya 5 ikiwa na pointi 50 katika mechi 30. Ni heri mngewaalika Mtibwa Sugar mkacheza nao mngepata upinzani wa kweli kuliko kualika timu dhaifu unaibamiza magoli kibao halafu unaanza kujisifu eti caliber ya Mavugo ni sawa na Christiano Ronaldo na Messi, ingekuwa ndiyo hivyo angerudi Tanzania kufanya nini maana ametokea Ulaya ambako ameshindwa majaribio katika timu ya daraja la II.

Kumbe jamaa kachemka majaribio mikia wanawambwembwe hawa.
 
Kuifunga timu kama AFC Leopards ni sawa na kuifunga Kariakoo Lindi, halafu mtu unaanza kujisifu kumbe umemfunga mbovu mwenzako tu! Timu iko nafasi ya 9 imefungwa magoli 21 katika mechi 21, je hiyo ni timu ya kujisifu kuifunga? Anyway hata mlipowafunga Polisi Morogoro mlichonga sana utafikiri mmechukua kikombe. Simba hawezi kuwa bingwa wa VPL 2016/2017, nafasi ya 3 inawahusu maana wastara hazumbuzi wa mbili havai moja.

View attachment 378284

Source: Kenya - Premier League 2016
Takwimu kama hizi ni muhimu kuondoa ujinga jukwani hapa.

Majigambo makubwa baada ya kuifunga Moro Kids lakini wakalala mbele ya KMC!

Sitashangaa kusikia wamenunua magoli ili kujiondolea pressure ya mashabiki.
 
Back
Top Bottom