Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe uzima tu Mkuu.. Ila kwa Moto uliowashwa.. Sijui ni nani wa kuuzima.
Yanga ilipofungwa 5-0 na Simba ilikuwa nafasi ya ngapi na uwiano gani wa magoli ya kufunga na kufungwa? Mchambuzi mzuri angeangalia timu husika imeachwa kwa point ngapi na anayeongoza ligiKuifunga timu kama AFC Leopards ni sawa na kuifunga Kariakoo Lindi, halafu mtu unaanza kujisifu kumbe umemfunga mbovu mwenzako tu! Timu iko nafasi ya 9 imefungwa magoli 21 katika mechi 21, je hiyo ni timu ya kujisifu kuifunga?
Narudia tena, Mavugo hakuchemka majaribio.. Na hata kama kachemka [ japo siyo hivyo] ila kazi yetu anaifanya vyema, sisi nyoyo zetu kwatu.. Go Mavugo.Kumbe jamaa kachemka majaribio mikia wanawambwembwe hawa.
Takwimu kama hizi ni muhimu kuondoa ujinga jukwani hapa.
Majigambo makubwa baada ya kuifunga Moro Kids lakini wakalala mbele ya KMC!
Sitashangaa kusikia wamenunua magoli ili kujiondolea pressure ya mashabiki.
Mkuu sikukimbia.
Kuhusu wazee wa manunuzi tukubaliane kutokubaliana maana hao ni Simba. Sema hapo kati walikuwa hawana change ya kununulia na viongozi wengi wajanja wa town wanapiga hela.Narudia tena, Mavugo hakuchemka majaribio.. Na hata kama kachemka [ japo siyo hivyo] ila kazi yetu anaifanya vyema, sisi nyoyo zetu kwatu.. Go Mavugo.
Alafu hivi Msuva katika majaribio yake kule south, matokeo yake yakoje?
Mkuu utakua umechanganya..
Tanzania inajua.. Dunia inajua kua Wazee wa Manunuzi ni Ndala S.C.
Hivi mbwembwe hajaanza leo hata mwaka jana alianza,hivi walivyoanza kufungwa akakimbia JF
Mlishindwa na kocha mwenye leseni ya UEFA mtaweza na huyu kocha wa mchangani ?
Ndala FC bana, waliombwa wao ndo wawe wageni wakasanda, haya tumeomba fc leopard na tumeifunga goal za haja bado kelele, sa sijui walitakaje draw au tufungwe? Na km tungefungwa wangekuja ohhh wamefungwa na team inayoshika nafasi ya 11 kwny ligi, haya tumeifunga bado povu, nyie endeleeni kujiita wakimataifa kwa kupanda ndege alafu mpira mdebwedo, eti team nzuri match 4 point 1, simba ata iwe mbovu vipi haiwezi kuwa mdebwedo hivo kweny kombe la shirikisho
Wewe ni wamatopeni tu, utashiriki vipi shirikisho wakati hujapata hiyo nafasi kwa sababu ya UBOVU WA LITIMU LENU LILIVYO LA OVYO,Kushiriki shirikisho unatakiwa ufuzu ligi ya ndani na ligi ya ndani ili ufuzu unatakiwa uwe bora na ili timu iwe bora inatakiwa icheze kwa ubora wakati litimu lenu halina huo ubora.Ndala FC bana, waliombwa wao ndo wawe wageni wakasanda, haya tumeomba fc leopard na tumeifunga goal za haja bado kelele, sa sijui walitakaje draw au tufungwe? Na km tungefungwa wangekuja ohhh wamefungwa na team inayoshika nafasi ya 11 kwny ligi, haya tumeifunga bado povu, nyie endeleeni kujiita wakimataifa kwa kupanda ndege alafu mpira mdebwedo, eti team nzuri match 4 point 1, simba ata iwe mbovu vipi haiwezi kuwa mdebwedo hivo kweny kombe la shirikisho
Wewe ni wamatopeni tu, utashiriki vipi shirikisho wakati hujapata hiyo nafasi kwa sababu ya UBOVU WA LITIMU LENU LILIVYO LA OVYO,Kushiriki shirikisho unatakiwa ufuzu ligi ya ndani na ligi ya ndani ili ufuzu unatakiwa uwe bora na ili timu iwe bora inatakiwa icheze kwa ubora wakati litimu lenu halina huo ubora.
Ndala FC bana, waliombwa wao ndo wawe wageni wakasanda, haya tumeomba fc leopard na tumeifunga goal za haja bado kelele, sa sijui walitakaje draw au tufungwe? Na km tungefungwa wangekuja ohhh wamefungwa na team inayoshika nafasi ya 11 kwny ligi, haya tumeifunga bado povu, nyie endeleeni kujiita wakimataifa kwa kupanda ndege alafu mpira mdebwedo, eti team nzuri match 4 point 1, simba ata iwe mbovu vipi haiwezi kuwa mdebwedo hivo kweny kombe la shirikisho
Kama mna timu nzuri si mngekuwa mabingwa au hata kushika nafasi ya pili ili mshiriki michuano ya kimataifa?
Kama wewe ni zaidi ya Yanga si ungekuwa bingwa,mbona mmeishia wa 3 ??Ndo milivo Ndala fc, mahaba mbele ukweli mwiko, kwani ile team ya ghana inashika nafasi ya ngapi vile kwao? Kwahiyo ile ni bora kuliko nyie mliokuwa mabingwa? Mapovu tu team nzuri itakuwa yanga, hongeni na caf tuone, kelele mingi eti wakimataifa kwenye vilabu bora Africa haipo ata top 300, swimmme
Timu nzuri ni ile inayopata matokeo mazuri,sio kinyume na hapo. Man U na Tottenham kwa msimu uliopita Tottenham ndio ilikuwa timu nzuri si kinyume na hapo zaidi ya hapo hizo ni mbwembwe ambazo kwenye soka hazina nafasi.Kwani mwenzangu unaelewa vipi kuhusu neno team nzuri? Vp kati ya Manchester utd na Tottenham ipi hapo ni team nzuri
Kama wewe ni zaidi ya Yanga si ungekuwa bingwa,mbona mmeishia wa 3 ??
Simba ni mdebwedo zaidi kwa sababu imeshindwa kuzifunga timu kama Toto Africans, Coastal Union, Mwadui FC ili kujiptia tiketi ya kushiriki michezo ya Kimataifa. Simba kufikiria kucheza michezo ya kimataifa ni sawa na kufikiria kujenga ghorofa huku ukiwa huna fedha.
Una habari kwamba timu ya Al Ahly Tripoli imecheza mechi 4 na haijapata hata pointi moja? Haya ni mashindano ya timu bora. Usianze kujilinganisha eti Simba hata ikiwa mbovu haiwezi kuwa na pointi 1 huku ukisahau kuwa nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi ndiyo haki yenu!
CAF Confederations Cup 2016 Standings - Soccer/Africa