Laudit Mavugo aanza "kurudisha" hela ya usajili Simba S.C.

Hizo rekodi ni za tareha 8/8/2016, swali unasema ni kutokana na msimamo wa ligi kwani kuna ligi TZ kipindi hiki .......... Na ndio maana nikakwambia mpira ni leo sio jana wala juzi kwahiyo usishangae Arsenal na Tottenham kuwa juu kwa vile mpira ni leo sio jana. Hivi wewe unaonaje rec za kimataifa unatupwa kwa nafasi 23 ni ndogo wenzako wakishuka nafasi moja tu wanaugulia wewe umepitwa nafasi 23.
N a kama uziamini hizi tafuta unazoziamini wewe na uweke hapa za tarehe za hivi karibuni.
 

Hizi ndio rekodi za CAF ?
 
Kuna uwezekano wewe unachojua ni habari za mikia tu, hivi unajua kuwa hadi hatua hii iliyofikiwa na Yanga kuna timu ambazo hazikufikia ??
Hujakosea, ugomvi wa Nyumba ya pili haunihusu.. Ila ni furaha katika nyumba yangu.
 
Msuva aliambiwa kama akitaka abaki timu ile awe muokota mipira
 
Watajadili ya kwao wapate wape wakati timu wamekodisha kama gari ya kubeba machanga?
 
Takwimu kama hizi ni muhimu kuondoa ujinga jukwani hapa.

Majigambo makubwa baada ya kuifunga Moro Kids lakini wakalala mbele ya KMC!

Sitashangaa kusikia wamenunua magoli ili kujiondolea pressure ya mashabiki.

Bwana wewe acha siasa zako hivi uliangalia mpira wa jana???
Unajua magoli ya kununuliwa yanavyo fungwa??
 

Mtani utakuwa umeni note vibaya tu, me sijazikataa hizo data ni za kweli kabisa wala sipingi, namm nilishawahi kuziona nazani Tp mazembe ndo walikuwa # 1, ss inasikitisha kwamba mwenzangu wakimataifa uko same margin namm wamatopeni, yani nguvu zote hizo za kujiita wakimataifa alafu eti ni club ya 325 na mkia fc 348 sa hyo standing inatuweka daraja 1 tukiwa nje ya tz, tofauti kuwa ulishinda ligi namm nikawa wa3, kwa mtazamo wangu, sidhani km mazembe wanajiita wakimataifa nanyie mjiite wakimataifa nazani nyie mjiite wapanda ndege hilo linawafaa sana, maana ndo tofauti kubwa iliyopo kati yangu mm naww

Anyway kwa leo inatosha nimeona kuna uzi wenu kule unadai mkataba wenu na tajiri ni hasara tupu, naomba tuhamie kule nikaone mnavyochambua mambo yenu kimataifa maana nyie watu wakubwa bana
 

hahahaa! hizi timu za bongo bana!!
 

Ninefurahi kuona MAVUGO akianza kulinganishwa na CHIRWA....

Inaonyesha ni jinsi gani DONALD NGOMA hana mpinzani hapa bongo.
 
Ndo milivo Ndala fc, mahaba mbele ukweli mwiko, kwani ile team ya ghana inashika nafasi ya ngapi vile kwao?



Sasa huku ni kulinganisha Ubora wa Ligi ya ya GHANA na Ligi ya KENYA.

Unafikiri Medeama SC ikishiriki ligi ya Kenya itabaki kwenye nafasi ile ile?
 
kelele mingi eti wakimataifa kwenye vilabu bora Africa haipo ata top 300, swimmme


Tangu lini CAF ina Rank ya vilabu bora barani Afrika?

Tupatie link ya orodha ya vilabu bora ambayo inatambulika na CAF. Achana na ile RANK ambayo Simba SC mmekuwa mnaitumia tangu mwaka 2011.
 
Kwahiyo kutopata point kwa Al Ahly ndo mmeona pa kujipea matumaini kwamba nanyie kupata pont 1 ndio mnazostahili ehhh



Anajaribu kukuonyesha kuwa Yanga SC sio timu ya kwanza au ya mwisho kupata matokeo wanayopata sasa hivi....
 

Bora wangewaalika Muhoroni Youth FC[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yanga msimu uliopita haikua bora, ilikua ni best among the worst.. Hivyo ilienda kutokana na sheria za CAF.. Lakini kama CAF wangekua wanaangalia viwango vya timu kabla.. Yanga hamkutakiwa kusogelea hata uwanja.
INAONEKANA KWA MATOKEO HAYA CHINI YA KU CONCEDE MABAO MENGI MENGI KLABU YAKO ILIKUWA BEST AMONG THE BEST.

 


Anajaribu kukuonyesha kuwa Yanga SC sio timu ya kwanza au ya mwisho kupata matokeo wanayopata sasa hivi....

We nae ulikuwa wapi wakati tunajdili, saiz kila mtu anafanya mamb mengine, km vp anzisha thread ingine km unamoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…