Simba haiwezi kujilinganisha na yanga ktk VPL hii misimu mitatu hapa nyuma sikatai, ila usijifanye kuilinganisha simba na yanga huko mnakopaita utaifani, swimme nyie angalieni record za simba na Ndala FC alafu urudi hapa kutoa povu
Mavugo kama PogbaYule mchezaji bora kabisa kuwahi kushudiwa katika ardhi ya Burundi, Laudit Mavugo a.k.a Tormentor hatimae aanza "kuirudishia" Simba S.C hela ilizotumia kumsajili.
Kwanini Mavugo ni bora?
1. Amemaliza msimu uliopita akiwa na mabao 30 katika ligi ya Burundi huku akifunga mabao 62 kwa misimu miwili.
2. Rekodi hizi hufukiwa na watu watatu tu katika Sayari hii.. Christian Ronaldo, Messi na Suarez.
Jamaa baada ya kusaini kuitumikia Simba S.C, alinena kauli nzito sana.
Baada ya kutua tu uwanja wa Ndege.. Mavugo akanena haya.. "Sikutaka kusaini pale Vital'O kwavile tu nina deni hapa Simba tangu mwaka jana, nimekuja kulipa. Hawa watu wa Simba ni wavumilivu sana, wangeweza kunishtaki lakini hawakufanya hivyo, waambie watulie nimekuja kuwafanyia kazi."
Pia baada ya kuanza mazoezi na "Mabingwa watarajiwa wa VPL msimu wa 2016/2017" akaangalia kwa umakini idara yake na kutamka maneno haya.. Namnukuu... "Hapa lazima niongeze jitihada ili nipate namba kwenye kikosi cha kwanza."
Mavugo kaanza vipi kurudisha hela ya usajili?
Jana katika mechi yake ya kwanza tu akiwa ndani ya Uzi bora kabisa wa Simba, Mavugo alishiriki katika upatikanaji wa magoli mawili ndani ya Dk. 45 tu. Moja kafunga, Jingine Ka assist.
Sasa Mavugo "Baba" ndo nini hiki unachotaka kufanya?
1. Kama katika Dk. 45 tu, goli 2 zimekuhusu, Je ukiongeza hizo jitihada ulizodai itakuaje??
2. Umetuahidi tutulie, utufanyie kazi.. Kama kazi yenyewe unayotaka kutufanyia ndiyo hii.. Hatulii mtu hapa.
Mwisho.. Mtani huku kwetu Mavugo kashaanza "kurudisha" hela yetu, huko kwenu vipi?? Yule Chirwa a.k.a Chura kasharudisha shilingi ngapi hadi Sasa??
We nae ulikuwa wapi wakati tunajdili, saiz kila mtu anafanya mamb mengine, km vp anzisha thread ingine km unamoto sana
Ajabu huyo mchezaji bora hana namba ya kudumu timu ya taifa.Yule mchezaji bora kabisa kuwahi kushudiwa katika ardhi ya Burundi, Laudit Mavugo a.k.a Tormentor hatimae aanza "kuirudishia" Simba S.C hela ilizotumia kumsajili.
Kwanini Mavugo ni bora?
1. Amemaliza msimu uliopita akiwa na mabao 30 katika ligi ya Burundi huku akifunga mabao 62 kwa misimu miwili.
2. Rekodi hizi hufukiwa na watu watatu tu katika Sayari hii.. Christian Ronaldo, Messi na Suarez.
Jamaa baada ya kusaini kuitumikia Simba S.C, alinena kauli nzito sana.
Baada ya kutua tu uwanja wa Ndege.. Mavugo akanena haya.. "Sikutaka kusaini pale Vital'O kwavile tu nina deni hapa Simba tangu mwaka jana, nimekuja kulipa. Hawa watu wa Simba ni wavumilivu sana, wangeweza kunishtaki lakini hawakufanya hivyo, waambie watulie nimekuja kuwafanyia kazi."
Pia baada ya kuanza mazoezi na "Mabingwa watarajiwa wa VPL msimu wa 2016/2017" akaangalia kwa umakini idara yake na kutamka maneno haya.. Namnukuu... "Hapa lazima niongeze jitihada ili nipate namba kwenye kikosi cha kwanza."
Mavugo kaanza vipi kurudisha hela ya usajili?
Jana katika mechi yake ya kwanza tu akiwa ndani ya Uzi bora kabisa wa Simba, Mavugo alishiriki katika upatikanaji wa magoli mawili ndani ya Dk. 45 tu. Moja kafunga, Jingine Ka assist.
Sasa Mavugo "Baba" ndo nini hiki unachotaka kufanya?
1. Kama katika Dk. 45 tu, goli 2 zimekuhusu, Je ukiongeza hizo jitihada ulizodai itakuaje??
2. Umetuahidi tutulie, utufanyie kazi.. Kama kazi yenyewe unayotaka kutufanyia ndiyo hii.. Hatulii mtu hapa.
Mwisho.. Mtani huku kwetu Mavugo kashaanza "kurudisha" hela yetu, huko kwenu vipi?? Yule Chirwa a.k.a Chura kasharudisha shilingi ngapi hadi Sasa??
Kwani mwenzangu unaelewa vipi kuhusu neno team nzuri? Vp kati ya Manchester utd na Tottenham ipi hapo ni team nzuri
Hao ndanda tangu muanze kukutana nao ktk ligi kuu mliwafunga goli ngapi kwa kila mechi?Unacheza na timu ya kumi na moja kwenye ligi halafu unajisifia sasa si bora mngewaalika ndanda fc
Kwa nini hizo sheria za CAF haziku-apply kwenu?Yanga msimu uliopita haikua bora, ilikua ni best among the worst.. Hivyo ilienda kutokana na sheria za CAF.. Lakini kama CAF wangekua wanaangalia viwango vya timu kabla.. Yanga hamkutakiwa kusogelea hata uwanja.
MgosiiiKama mna timu nzuri si mngekuwa mabingwa au hata kushika nafasi ya pili ili mshiriki michuano ya kimataifa?