fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Kwan lavalava ndo alieiajiri wcb au wcb ndo imemuajiri lavalava..? Na kama lavalava kaajiriwa kazi yake s ni kutoa nyimbo inakuaje uongozi umpe uhuru wa kutoa nyimbo pale anapotaka na sio kama uongozi unavotaka ina maana lavalava n mkubwa kuliko lebo yake ..? Apo uongozi ndo una changamotoShida sio Wcb ni yeye msanii mwenyewe kubweteka tangu Lavalava awe na mzungu hatoi ngoma bact to back
Kwa mujibu wa Diamond aliwahi kusema Wasafi inahusika full ni pale ambapo ujapata jina ndipo watakupangia kila kitu baada ya wewe kukua kuna mambo machache ndio watahusika na wewe kwenye promotion, uwekezaji wa mziki na kwenye kupanga kutoa album au Ep but sio single song, kwenye kutoa ngoma ni juu yako kama unataka ziwe 4 au ngapi but nilazima kwanza vipite kwenye uongozi zikiwa ni kali zote ni wewe tu uamue unatoa ngapi?Kwan lavalava ndo alieiajiri wcb au wcb ndo imemuajiri lavalava..? Na kama lavalava kaajiriwa kazi yake s ni kutoa nyimbo inakuaje uongozi umpe uhuru wa kutoa nyimbo pale anapotaka na sio kama uongozi unavotaka ina maana lavalava n mkubwa kuliko lebo yake ..? Apo uongozi ndo una changamoto
Nothing hapoLovebite aachia another hitsong TAJIRI. Ambayo inasumbua sana mtaani na kwenye platforms mbalimbali. Amerudi kwa kasi ya 4g.
View attachment 2658888
Ndiyo maana nimesema kuna kitu hakipo sawa ila si kubaniwa na management yake
Kwahiyo mkuu management inambania ili na wao wapate hasara ?Anabaniwa na management bhana swala la kutoa nyimbo ngapi sio uamuzi wa wasanii
Kwahiyo mkuu management inambania ili na wao wapate hasara ?
Unamtetea huyo Lavalava but huna hoja hivi ujui lavalava ana mpenzi mzungu ndio anamuharibu akili ndio maana kabwetekaKwa hiyo management inamuachia atoe nyimbo moja ili nayo ile hasara?