fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Kwan lavalava ndo alieiajiri wcb au wcb ndo imemuajiri lavalava..? Na kama lavalava kaajiriwa kazi yake s ni kutoa nyimbo inakuaje uongozi umpe uhuru wa kutoa nyimbo pale anapotaka na sio kama uongozi unavotaka ina maana lavalava n mkubwa kuliko lebo yake ..? Apo uongozi ndo una changamotoShida sio Wcb ni yeye msanii mwenyewe kubweteka tangu Lavalava awe na mzungu hatoi ngoma bact to back