Lavalava amerudi kwa speed ya 4g

Lavalava amerudi kwa speed ya 4g

Shida sio Wcb ni yeye msanii mwenyewe kubweteka tangu Lavalava awe na mzungu hatoi ngoma bact to back
Kwan lavalava ndo alieiajiri wcb au wcb ndo imemuajiri lavalava..? Na kama lavalava kaajiriwa kazi yake s ni kutoa nyimbo inakuaje uongozi umpe uhuru wa kutoa nyimbo pale anapotaka na sio kama uongozi unavotaka ina maana lavalava n mkubwa kuliko lebo yake ..? Apo uongozi ndo una changamoto
 
Kwa mujibu wa Diamond aliwahi kusema Wasafi inahusika full ni pale ambapo ujapata jina ndipo watakupangia kila kitu baada ya wewe kukua kuna mambo machache ndio watahusika na wewe kwenye promotion, uwekezaji wa mziki na kwenye kupanga kutoa album au Ep but sio single song, kwenye kutoa ngoma ni juu yako kama unataka ziwe 4 au ngapi but nilazima kwanza vipite kwenye uongozi zikiwa ni kali zote ni wewe tu uamue unatoa ngapi?
 
Back
Top Bottom