Lavalava amerudi kwa speed ya 4g

Lavalava amerudi kwa speed ya 4g

Wimbo hauwi mzuri mpaka uwe Club? Au tafsiri ya wimbo mzuri siku hizi imebadilika?
Mi.mwenyewe nashangaa sisi ambao hatupigi tungi ndo basi tena hatutaweza kuuelewa huo wimbo
 
Yaan mi naonaga jamaa hapewi promo inayostahili ilihal anaujua mziki
Sio kwamba hapewi promo sema kinachomcost utaratibu wake wa wimbo, kwa mziki wa sasa sio wakutoa ngoma 1 kwa Mwaka hii imemfanya awe anasahaulika hivi umeona Mbosso na Zuchu wanaachia ngoma 5 hata 6 kwa mwaka na hapo unakuta Wana collaboration nyingine sasa yeye ngoma 1 kwa mwaka unategemea nini?
 
Lakini sio kwamba yy ndo anaamua atoe ngoma kwa mwaka hapana kama uongozi unapanga kwa mwaka mtu atoe ngoma tano yy anashindwaje kutoa ngoma tano ilihali studio ipo ya bure na kila kitu management inasimamia..? Kwamba hajui kutunga ngoma tano 5 tu sio kweli ila hapewi nafasi ya kuachia ngoma kama wenzie wanavofanya angalia mfn mboso mwezi huu katoa ngoma mwezi uliopta ngoma nyngne alitoa uyo zuchu ndo akiamua tu anatoa ngoma ila lavalava anabaniwa tu
 
Sio kweli eti Wcb wanampangia wakati wao ni wafanyabiashara unapotoa ngoma nyingi ndivyo na wao wanaingiza hela hivi uliona ugomvi wa Wcb na Richmavoko ulikuwa wapi wakati Wcb walikuwa wanahitaji album ya Mavoko ndani ya miezi 9 ndio kwanza Mavoko katengeneza ngoma 3 Mavoko alikuwa mvivu wa kutengeneza ngoma na ndio kitu anacho Lavalava
 
Lakini sio kwamba yy ndo anaamua atoe ngoma kwa mwaka hapana kama uongozi unapanga kwa mwaka mtu atoe ngoma tano yy anashindwaje kutoa ngoma tano ilihali studio ipo ya bure na kila kitu management inasimamia..? Kwamba hajui kutunga ngoma tano 5 tu sio kweli ila hapewi nafasi ya kuachia ngoma kama wenzie wanavofanya angalia mfn mboso mwezi huu katoa ngoma mwezi uliopta ngoma nyngne alitoa uyo zuchu ndo akiamua tu anatoa ngoma ila lavalava anabaniwa tu
Ukisema hapewi nafasi siyo sawa vilele kwasababu WCB ina ingiza faida kutokana na anacho kizalisha akitoa ngoma anapata promo vizuri tu ,kuna kitu hakipo sawa ila siyo hapewi nafasi
 
Sasa kwann hawatak hatoinngoma kam wenzie..?
 
Ndiyo maana nimesema kuna kitu hakipo sawa ila si kubaniwa na management yake
Kwamba yy mwenyewe ndo anafeli au sio...?

nko naskikiza ngoma yake ya nitake nini daaah hyu ni fundi saNa aisee
 
Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe.
Nimeusikiliza wimbo wa kawaida sana. Lavalava kwa kiwango chake hapa hajakifikia. Kuna nyimbo zake za nyuma kali sana mbali zaidi ya hii

Halafu nyimbo nzuri hata ikipigwa kwenye bodaboda itabamba tu. Pia sio lazima mdundo wa ukweli unapatikana club. Wengine tuna [emoji442] headphone za Harman Kardon zinapiga Club inasubiri na ndio nimetestia huu wimbo
 
Tajiri ameonyooka ,hana mbambamba ,ana demu wa kizungu ,kina joh makini,msodoki,KR ,nani nani wote pita kule,kwanza Mpunga anao ,kuanzia kerege ,zinga,mapinga kote amewekeza apartments ,we unamjua huyo au umerogwa wewe! Dayamondi mwenyewe anamjua!
 
Me ni shabiki wa Lavalava na my favourite song yake ni Komesha
 
Sasa si kawaida yenu watu wa mwanzq huwa hamjui kitu, Hadi leo superstar wenu ni bestnaso na hitsong ni ile "Bora nirudi zangu kijijiini"
 
Back
Top Bottom