Lavalava awekewe mstari wa maelngo wa kuendelea kubaki WCB, Hatuoni maendeleo

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
-huyu lava lava yupo lebo kubwa kuliko uwezo wake..
-anafanyiwa uwekezaji mkubwa sana kuliko kiwango chake..
-lava lava ana kila miundo mbinu lakini haitendei haki.
-laiti nafasi ya lava lava angepewa hata dogo janja hakika dogo janja angekuwa international tayari.

kina harmonize na rayvanny saizi ni moto ni wa kimataifa, Mbosso nae kibish kisbish anapambania gawio lake hapa bongo na shows anapata, queen darleen huyu ni dada yake D na hata akiharibu hawazi, Ila kwa Lavalava pana utata.

Kumkodisha harmonize au rayvanny kwa show yaweza kufikia milion 15, Mboso unaweza ikawa milion 7 ila hapa kwa lavalava si ajabu bei za kumkodisha ikawa ni milioni 3
 
Bora tuachane umeimba wewe na mumeo?

Acheni wivu wa kike nyie
Huyu kijana lavalava inasemekana aliingizwa Wcb baada ya crew ya Wcb kuvutiwa na cover aliyofanya, kwa ambao nimewachanganya hapa kwenye cover ni kile kitendo cha kuimba wimbo wa msanoo flani kama ilivyo bongo star search.

Harmonize alitoka na aiyola, rayvanny ma kwetu, queen Carlin na kijuso, mbosso nae alitoka fresh, ila Huyu lavalava hana ngoma iliyotikisa.

Kwa upande Wangu nachoona ni kwamba fani ya kutunga na kuimba ni tofauti na ile ya kuimba cover yani kurudia walichoimba wenzako, lavalava ni nzuri kwenye cover ila kwenye kutunga na kuimba kama msanii amekuwa ni msanii wa kawaoda sana.

Lavalava ni wa kawaida sana hata wasanii kama kina beka flavour wamempita mno na mbaya zaidi lavalava naona habadiliki wala kuonyesha jitihada.
 
Hii Leo inaingia akilini kwamba kina rayvanny na harmonize kuwakodisha
Wewe na lavalava nani wa maana hapa Tanzania?
 
Inaonekana hufatilii na hujui mziki we kijana.....
 
huyu lava lava yupo lebo kubwa kuliko uwezo wake..

anafanyiwa uwekezaji mkubwa sana kuliko kiwango chake..

lava lava na queen darleen wana kila miundo mbinu lakini hawabebeki..

nafasi ya lava lava angepewa ruby hata miezi sita tu...
 
Humjui lava lava wewe

Bora tuachane wimbo wake wa kwanza ulikua ni wimbo wa taifa...

Go gaga na niuwe ndio nyimbo zinazopigwa club kila baada ya dk 20
Dede nao umemshika kila mtu
Lavalava wa kawaida mno mkuu, hamfikii hata beka flavor
 
Anajitahidi kwa nafasi yake.
Ila mie yeye na mbosso siwaelewi, nahisi ni aina ya muziki wao.
 
Humjui lava lava wewe

Bora tuachane wimbo wake wa kwanza ulikua ni wimbo wa taifa...

Go gaga na niuwe ndio nyimbo zinazopigwa club kila baada ya dk 20
Dede nao umemshika kila mtu
Bora tuachane my favourite!!
 
Khaa..!!Humuelewi muhindi wa kibiti Fundi Mbosso??Ebu skiliza Hodari,Nipepee,Tamu,Picha yake,Nadekezwa,Maajabu alaf urudi tena mamilox,,Mbosso muziki wake unaitwa Baibuda
Aina hiyo ya muziki siupendi kwakweli, hakuna wimbo wake nimewahi kuupenda. Yeye, huyo lavalava na kassim mganga.
 
-huyu lava lava yupo lebo kubwa kuliko uwezo wake..
-anafanyiwa uwekezaji mkubwa sana kuliko kiwango chake..
-lava lava ana kila miundo mbinu lakini haitendei haki.
-laiti nafasi ya lava lava angepewa hata dogo janja hakika dogo janja angekuwa international tayari.

kina harmonize na rayvanny saizi ni moto ni wa kimataifa, Mbosso nae kibish kisbish anapambania gawio lake hapa bongo na shows anapata, queen darleen huyu ni dada yake D na hata akiharibu hawazi, Ila kwa Lavalava pana utata.

Kumkodisha harmonize au rayvanny kwa show yaweza kufikia milion 15, Mboso unaweza ikawa milion 7 ila hapa kwa lavalava si ajabu bei za kumkodisha ikawa ni milioni 3
Lava lava yupi ? wewe ata kumbi za starehe unaenda kweli ?, uchawi umepitwa na wakati acha hizo
 
Back
Top Bottom