Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
-huyu lava lava yupo lebo kubwa kuliko uwezo wake..
-anafanyiwa uwekezaji mkubwa sana kuliko kiwango chake..
-lava lava ana kila miundo mbinu lakini haitendei haki.
-laiti nafasi ya lava lava angepewa hata dogo janja hakika dogo janja angekuwa international tayari.
kina harmonize na rayvanny saizi ni moto ni wa kimataifa, Mbosso nae kibish kisbish anapambania gawio lake hapa bongo na shows anapata, queen darleen huyu ni dada yake D na hata akiharibu hawazi, Ila kwa Lavalava pana utata.
Kumkodisha harmonize au rayvanny kwa show yaweza kufikia milion 15, Mboso unaweza ikawa milion 7 ila hapa kwa lavalava si ajabu bei za kumkodisha ikawa ni milioni 3