Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Huyu kijana lavalava inasemekana aliingizwa Wcb baada ya crew ya Wcb kuvutiwa na cover aliyofanya, kwa ambao nimewachanganya hapa kwenye cover ni kile kitendo cha kuimba wimbo wa msanoo flani kama ilivyo bongo star search.
Harmonize alitoka na aiyola, rayvanny ma kwetu, queen Carlin na kijuso, mbosso nae alitoka fresh, ila Huyu lavalava hana ngoma iliyotikisa.
Kwa upande Wangu nachoona ni kwamba fani ya kutunga na kuimba ni tofauti na ile ya kuimba cover yani kurudia walichoimba wenzako, lavalava ni nzuri kwenye cover ila kwenye kutunga na kuimba kama msanii amekuwa ni msanii wa kawaoda sana.
Lavalava ni wa kawaida sana hata wasanii kama kina beka flavour wamempita mno na mbaya zaidi lavalava naona habadiliki wala kuonyesha jitihada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora tuachane umeimba wewe na mumeo?
Acheni wivu wa kike nyie
Wewe na lavalava nani wa maana hapa Tanzania?Huyu kijana lavalava inasemekana aliingizwa Wcb baada ya crew ya Wcb kuvutiwa na cover aliyofanya, kwa ambao nimewachanganya hapa kwenye cover ni kile kitendo cha kuimba wimbo wa msanoo flani kama ilivyo bongo star search.
Harmonize alitoka na aiyola, rayvanny ma kwetu, queen Carlin na kijuso, mbosso nae alitoka fresh, ila Huyu lavalava hana ngoma iliyotikisa.
Kwa upande Wangu nachoona ni kwamba fani ya kutunga na kuimba ni tofauti na ile ya kuimba cover yani kurudia walichoimba wenzako, lavalava ni nzuri kwenye cover ila kwenye kutunga na kuimba kama msanii amekuwa ni msanii wa kawaoda sana.
Lavalava ni wa kawaida sana hata wasanii kama kina beka flavour wamempita mno na mbaya zaidi lavalava naona habadiliki wala kuonyesha jitihada.
Hii Leo inaingia akilini kwamba kina rayvanny na harmonize kuwakodisha
Inaonekana hufatilii na hujui mziki we kijana.....Huyu kijana lavalava inasemekana aliingizwa Wcb baada ya crew ya Wcb kuvutiwa na cover aliyofanya, kwa ambao nimewachanganya hapa kwenye cover ni kile kitendo cha kuimba wimbo wa msanoo flani kama ilivyo bongo star search.
Harmonize alitoka na aiyola, rayvanny ma kwetu, queen Carlin na kijuso, mbosso nae alitoka fresh, ila Huyu lavalava hana ngoma iliyotikisa.
Kwa upande Wangu nachoona ni kwamba fani ya kutunga na kuimba ni tofauti na ile ya kuimba cover yani kurudia walichoimba wenzako, lavalava ni nzuri kwenye cover ila kwenye kutunga na kuimba kama msanii amekuwa ni msanii wa kawaoda sana.
Lavalava ni wa kawaida sana hata wasanii kama kina beka flavour wamempita mno na mbaya zaidi lavalava naona habadiliki wala kuonyesha jitihada.
Hii Leo inaingia akilini kwamba kina rayvanny na harmonize kuwakodisha
Lavalava wa kawaida mno mkuu, hamfikii hata beka flavorHumjui lava lava wewe
Bora tuachane wimbo wake wa kwanza ulikua ni wimbo wa taifa...
Go gaga na niuwe ndio nyimbo zinazopigwa club kila baada ya dk 20
Dede nao umemshika kila mtu
Bila shaka unaongelea Gundu,Nikutume wapi sasa njiwa inaitwa TejaMimi napenda sana nyimbo za huyu kijana. Dede, Bora tuachane, kuna ile amevaa suti nyeupe, ile nikutume wapi njiwa. Namkubali sana kwakweli.
Nnacheka badoWewe na lavalava nani wa maana hapa Tanzania?
Bora tuachane my favourite!!Humjui lava lava wewe
Bora tuachane wimbo wake wa kwanza ulikua ni wimbo wa taifa...
Go gaga na niuwe ndio nyimbo zinazopigwa club kila baada ya dk 20
Dede nao umemshika kila mtu
Khaa..!!Humuelewi muhindi wa kibiti Fundi Mbosso??Ebu skiliza Hodari,Nipepee,Tamu,Picha yake,Nadekezwa,Maajabu alaf urudi tena mamilox,,Mbosso muziki wake unaitwa BaibudaAnajitahidi kwa nafasi yake.
Ila mie yeye na mbosso siwaelewi, nahisi ni aina ya muziki wao.
Aina hiyo ya muziki siupendi kwakweli, hakuna wimbo wake nimewahi kuupenda. Yeye, huyo lavalava na kassim mganga.Khaa..!!Humuelewi muhindi wa kibiti Fundi Mbosso??Ebu skiliza Hodari,Nipepee,Tamu,Picha yake,Nadekezwa,Maajabu alaf urudi tena mamilox,,Mbosso muziki wake unaitwa Baibuda
Lava lava yupi ? wewe ata kumbi za starehe unaenda kweli ?, uchawi umepitwa na wakati acha hizo-huyu lava lava yupo lebo kubwa kuliko uwezo wake..
-anafanyiwa uwekezaji mkubwa sana kuliko kiwango chake..
-lava lava ana kila miundo mbinu lakini haitendei haki.
-laiti nafasi ya lava lava angepewa hata dogo janja hakika dogo janja angekuwa international tayari.
kina harmonize na rayvanny saizi ni moto ni wa kimataifa, Mbosso nae kibish kisbish anapambania gawio lake hapa bongo na shows anapata, queen darleen huyu ni dada yake D na hata akiharibu hawazi, Ila kwa Lavalava pana utata.
Kumkodisha harmonize au rayvanny kwa show yaweza kufikia milion 15, Mboso unaweza ikawa milion 7 ila hapa kwa lavalava si ajabu bei za kumkodisha ikawa ni milioni 3