Kwani mmakonde ndo nani?Wamtengeneze kama vile walivyomtengeneza Harmonize ili wazibe pengo la mumakonde
Mkuu Mimi Sina chuki na WCB sababu nawakubali Sana, ila huyu lavalava sijawai kumuelewa hata kidogo.Harmonize acha chuki Kwanzaa acha kutumia I'd fake
Asante tumeijua ID yako mpyaMkuu Mimi Sina chuki na WCB sababu nawakubali Sana, ila huyu lavalava sijawai kumuelewa hata kidogo.
Miaka yote tutakuwa tunasikiliza nyimbo hiyo hiyo moja tu bora tuachane?Mkuu umesikiliza Habibi au bora tuachane?
Si tunasikia huko Afrika mna uwezo wa kununua nyota. Afanyiwe na yeye mpango wa kununuliwa nyota yake.
Kwani Michael Jackson,Bob Marley,Marijan,Mbaraka Mwinshehe wametoa nyimbo mpya lini?mbona wanasikilizwaMiaka yote tutakuwa tunasikiliza nyimbo hiyo hiyo moja tu bora tuachane?