Usifananishe kaswida na vitu vya ajab kuwa na heshima kidogo na dini za watu.Hapendezi hata kidogo yaani.
Halafu hana kigezo hata kimoja kinachomfanya atambulike kama msanii wa WCB.
Yuko pekeyake peke yake na makaswida yake [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Umemkosea adabu sana lava lava ni fundi kuliko wote hapo WCBHakika hakuna kitu nilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.
Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi kutuongezea mikosi tu.
Ni mara mia nafasi yake tungebahatika kumpata mtu kama Shetta au hata huyu bwana mdogo Neddy kuliko huyu aliyetoroka madrassa na kuja kutuletea mikosi tu ndani ya WCB.
Hata katika wimbo wa zilipendwa kipande chake kibovu sana ,pale angekaa Shetta ,Shettani au baba Qaylah ingekuwa poa sana.
Huyu lavalava kwanza kakaa kishamba shamba halafu damu ya nguo hana kabisa.
Bora hata akaimbe baikoko ndio saizi yake , huku kwingine hakuwezi kabisaaa.
View attachment 582949
Ndiohahahhaa mkuu sema jamaa tu humpendi maana umechukia kiwango chake sawa, mara nguo hazimkai duuuu chuki mbaya sana
Aisee.Mleta uzi sidhani kama anaweza kua mwanaume,hii roho mbaya sio ya ulimwengu huu
Sent using Jamii Forums mobile app
simpigii debe sheta,huyo sheta ni mfano tuWew jamaa kwa hiyo unampgia promo sheta WCB!?,Je sheta ndio umeona msanii Bora kufit nafas ya lavalava kuliko wasanii wote,uko na lako wew,bc kaombe wew nafas yake uimbe uone kama hiyo nyimbo kma hamtoiskiliz wew na manz ako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayemuonea wivu.
Lini niliwahi kumuongelea lavalava?mara ya pili unakuja na hii topic,lava lava kakufanya nini???wewe je unaweza ht kuimba qaswida??mxeuwww
Lini niliwahi kumuongelea lavalava?
Mimi sio msanii ila ni mdau mkubwa wa sanaa na muziki kiujumla.sijui kusearch,uliileta kama post,sio topic,yes,nakukumbuka sana ulisema maneno hayo hayo ya muimba qaswida,embu kiukweli embu tuambie,una uwezo wa kuimba wa kumfikia lava lava? chuki kwa kijana mwenzio inatoka wapi?