Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Eleza ukweli sio unazungukazunguka
 
Kwani huyo jamaa kakuchukulia mke au mbona unatokwa povu namna hiyo?

Wewe sio uongozi wa WCB inakuuma nini kumsainisha deal mtu mwingine?
Ukiona mishipa ya shingo inakutoka kukomalia jambo linalomuingizia rizki mtu mwingine ujue hilo ni pepo la roho mbaya

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Seduce Me imepeleka maafa makubwa kule Madale.
Sasa wafuasi wa wasafi hawataki hata kumsikia Lavalava
 
Back
Top Bottom