titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Bora aondolewe hamonaiz na siyo huyo kijana,dogo anasauti ya kipekee,alafu hajikamui wakati wa kuimba wala kuimbia puani kama hamonaiz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora aondolewe hamonaiz na siyo huyo kijana,dogo anasauti ya kipekee,alafu hajikamui wakati wa kuimba wala kuimbia puani kama hamonaiz
[emoji106]Na ww ni mmoja wa viongozi wa wcb? Km mpenzi tu wa kawaida kaa utulie mwenye kampuni yake kaamua hivyo anatumia pesa zake. Hauna tofauti na shabiki wa arsenal anaetaka Wenger atoke wakati hatoi hata shilingi kusaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hujui maana halisi ya uchawi basi jua kuanzia leo wewe ni MCHAWI
[emoji106]DEDE hii ni moja ya nyimbo bora za huyo dogo na ndio mwandishi bora wa nyimbo hasa upande wa mapenzi yupo vizuri sana, mpeni muda ila kwangu mm nime shampitisha
[emoji106]Mwenye kundi na timu nzima imeona kipaji wewe pambana na hali yako
Bora tuachane ni ngoma ya maana kuliko zote walizotoa WCBBora aondolewe hamonaiz na siyo huyo kijana,dogo anasauti ya kipekee,alafu hajikamui wakati wa kuimba wala kuimbia puani kama hamonaiz
Ni kweli kwamaana huna mke,Hana uwezo wa kumchukua mke wangu.
Noma aiseeSeduce Me imepeleka maafa makubwa kule Madale.
Sasa wafuasi wa wasafi hawataki hata kumsikia Lavalava