Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Hakika hakuna kitu nilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.

Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi kutuongezea mikosi tu.

Ni mara mia nafasi yake tungebahatika kumpata mtu kama Shetta au hata huyu bwana mdogo Neddy kuliko huyu aliyetoroka madrassa na kuja kutuletea mikosi tu ndani ya WCB.

Hata katika wimbo wa zilipendwa kipande chake kibovu sana ,pale angekaa Shetta ,Shettani au baba Qaylah ingekuwa poa sana.

Huyu lavalava kwanza kakaa kishamba shamba halafu damu ya nguo hana kabisa.

Bora hata akaimbe baikoko ndio saizi yake , huku kwingine hakuwezi kabisaaa.

View attachment 582949
Mbona jamaa yupo vizur tu.
 
Wakati unaendelea kupiga majungu, mwenzako anaendelea kupiga project zake na kujenga maisha yake ya baadae. Endelea kushinda jamii forum mkuu.
 
Nahisi una mahaba na shettani.
 
Yaani nimekuona mdwanzi ulipomtolea mfano Shetta, au unamzungumzia Shetta wa sayari nyingine? Huyo Lavalava kipaji kipo, jaribu kuuzingatia wimbo wake mpya wa Dede, sema nyota yake ina ukungu, hajapokelewa kwa haraka na mashabiki kama wenzake Harmonize na Rayvanny

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika hakuna kitu nilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.

Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi kutuongezea mikosi tu.

Ni mara mia nafasi yake tungebahatika kumpata mtu kama Shetta au hata huyu bwana mdogo Neddy kuliko huyu aliyetoroka madrassa na kuja kutuletea mikosi tu ndani ya WCB.

Hata katika wimbo wa zilipendwa kipande chake kibovu sana ,pale angekaa Shetta ,Shettani au baba Qaylah ingekuwa poa sana.

Huyu lavalava kwanza kakaa kishamba shamba halafu damu ya nguo hana kabisa.

Bora hata akaimbe baikoko ndio saizi yake , huku kwingine hakuwezi kabisaaa.

View attachment 582949
Uzuri ni maoni yako na wala si uhalisia uliopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo anajua sio muongo muongo kwenye uimbaji Kama hao wengine pale Dabliyu si bi
 
Kaka sio vizuri kuharibu carrier za watu kwa kupandikiza chuki binafsi,lava lava ndo anaanza jenga ngome sasa mpk akina kiba wamemuelewa.sababu ashajipatia mashabiki acha apate ugali wake kwa urefu wa kamba yake.kama hawezi mziki utamselect out. Mwache ajipatie ugali kwa kidogo alicho nacho.ila ni mtazamo wako tu lakini umewakilisha kichuki

Career
 
Hakika hakuna kitu nilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.

Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi kutuongezea mikosi tu.

Ni mara mia nafasi yake tungebahatika kumpata mtu kama Shetta au hata huyu bwana mdogo Neddy kuliko huyu aliyetoroka madrassa na kuja kutuletea mikosi tu ndani ya WCB.

Hata katika wimbo wa zilipendwa kipande chake kibovu sana ,pale angekaa Shetta ,Shettani au baba Qaylah ingekuwa poa sana.

Huyu lavalava kwanza kakaa kishamba shamba halafu damu ya nguo hana kabisa.

Bora hata akaimbe baikoko ndio saizi yake , huku kwingine hakuwezi kabisaaa.

View attachment 582949
Nakuunga mkono aiseeee
 
Back
Top Bottom