Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #141
Mbovu sanaLava lava ni usajiri mbovu kupata kutokea pale WCB.
Ulitaka aimbe ki kwaya kwaya?japo sio mpenzi sana wa hii miziki yenu ya sasa hivi kutokana na umri wangu kusonga mbele,huyu dogo sivutiwi na ile style yake ya kuimba kama muimba dufu...nahisi atakuwa ni product ya madrasa huyu....ana uimbaji wa kidufu dufu sana.
sorry kama kuna mtu atachukizwa na comment yangu.ni maoni tu hivyo sio lazima kila mtu ayakubari.
Mshauri.Wewe uko lebel ya WCB kama nani labda kwa mfano??
honestly speaking,sivutiwi na uimbaji/mpangilio wa sauti wa huyu dogo kutokana issue hiyo...u-madrasa wake ni kero kwa wengine.
asante kama ulishawahi kuligusia hili.
Uko sahihWe ni nani kwenye hiyo lebel... Back voko ama ndio babutale...
Kijana lavalava ndivyo alivyo ni mpole hana mashauzi.. Alafu swala LA mavazi hapangi yeye aliye mbadili qboy msafi no nani kama hayupo basi wenzie wanamuhujumu hawampi ushauri
Hance tena na Lavalava
Penye ukweli lazima pasemwe huyu dogo ni mzigo sana pale wasafi
[emoji106]Vijana bwana eti 'Label yetu ya WCB' [emoji23][emoji23] pambana upate mkate wako wa kila siku uyo mwenzio yuko jikoni tayari na anakaa meza moja na hao wenye label wakati wewe unalalama mitandaoni.
Wewe mtoa mada ni Jembe LA uongooo acha wivuKwa mlioona show ya Jana mtakuwa mashahidi.Wasanii wa WCB wote walifanya kazi nzuri sana kasoro Lavalava.
Kwanza alivaa kishamba pia hakupokea shangwe za maana kutoka kwa mashabiki kutokana na ukweli kwamba alikuwa anaboa mashabiki tu badala ya kuwaburudisha.
Hakika Simba (Diamond)hapa kwenye usajili wa haka kajamaa ulikosea sana nitazidi kukulaumu milele na milele.
View attachment 643309
yaani umeongelea chuki yako binafsi na lava lava sio kana kwamba diamond show zote anapokelewa fresh yale ni matokeo tu ya show. but ukiweka uzi kama huu uandae sababu za msingi za kumchambua mtu vema. unanua maana ya ushamba au kuvaa kishamba? wewe unavaa kijanja?? yepi mavaz ya kijanja na yepi ya kishamba?? mind yourself. unaweza ukawa unazo akili ila namna ya kuzitumia usijue ndio inapelekea ukaonekana punguani.Kwa mlioona show ya Jana mtakuwa mashahidi.Wasanii wa WCB wote walifanya kazi nzuri sana kasoro Lavalava.
Kwanza alivaa kishamba pia hakupokea shangwe za maana kutoka kwa mashabiki kutokana na ukweli kwamba alikuwa anaboa mashabiki tu badala ya kuwaburudisha.
Hakika Simba (Diamond)hapa kwenye usajili wa haka kajamaa ulikosea sana nitazidi kukulaumu milele na milele.
View attachment 643309
ANAYEWAHARIBIENI LEBO YENU KAMA HAMJUI NI QUEEN DARLEEN(DADA WA DIAMOND).KUIMBA HAJUI ANGEMUOMBA KAKA YAKE AMPE MTAJI WA BIASHARAKwa mlioona show ya Jana mtakuwa mashahidi.
Wasanii wa WCB wote walifanya kazi nzuri sana kasoro Lavalava.
Kwanza alivaa kishamba pia hakupokea shangwe za maana kutoka kwa mashabiki kutokana na ukweli kwamba alikuwa anaboa mashabiki tu badala ya kuwaburudisha.
Hakika Simba (Diamond) hapa kwenye usajili wa haka kajamaa ulikosea sana nitazidi kukulaumu milele na milele.
View attachment 643309
Sio yatampa ngwengweee au nyota itachafukaaaaHuyu naye angekamata jimama limoja limboost nyota kama wenzie!maana nyota yake imefifia hadi tulishamsahau.