Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Sio yatampa ngwengweee au nyota itachafukaaaa
Hamna mbona Zarina kajibebea dimondo,Aunt kajibebea Iyobo, na wote hawa hawajawapa ngwengwee wanazidi kupasua anga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ana haibu sana afu ni mpole ajui ku ishi kistaaa ila co mbaya atazoea tu kama harmonize nae c alkuaga ivyo ivyo
 
Kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwenyewe mwanzo nlikua simuelewi kama wewe

kiukweli hana muonekano wa kisanii ana umbo baya sana hapendezi ata avae nn

ila anafanya mziki mzuri koo muache aendelee kula matunda yake maana kilichompeleka pale ni kazi
 
Mi mwenyewe mwanzo nlikua simuelewi kama wewe

kiukweli hana muonekano wa kisanii ana umbo baya sana hapendezi ata avae nn

ila anafanya mziki mzuri koo muache aendelee kula matunda yake maana kilichompeleka pale ni kazi
Una umri gani mkuu?
 
Dah..! Inasikitisha sana,yaani aliyeandika hii thread ni mwanaume!?? Kweli wanaume wanazidi kuisha Duniani. Mwanaume unafuatilia mpaka anavyovaa mwanaume mwenzio duh..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Useless topic na mtoa mada wewe ni Useless sasa Logic iko wap naona umejawa na chuki na husuda wewe tena mtoto mwanaume unaona wivu na chuki kwa mwanaume mwenzio...toa logic apo tukuelewe Bundi kivp na mikosi kivp...bas kama vip nenda wewe bas pumbuf ww[emoji23][emoji23][emoji23] alaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuchu dodo,acha unafiki lavalava ana melody adimu sana
 
Habari wadau.

Lava Lava naona kama anakosa ubunifu wa kuendana na soko.

Nawaza tu WCB walitumia vigezo gani kumsajili Lava Lava? Naona anafanyiwa uwekezaji mkubwa ila muziki wake hauendani na soko.

Wadau mnamuonaje Lava Lava?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…