Lavalava wa WCB amejipata kisawasawa

🀣🀣🀣🀣🀣 unaleta ushabiki hapa kuisagia kunguni kumbe wewe ni team konde boy?? Hapo sasa nimekuelewa 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nasikiliza nyimbo za aina nyingi, rnb, hip-hop, afro, you name it. except takataka za Bongo fleva sijui diamond, mara lavalava straight trash music. Bora ata kuna muda harmonize ana bahatisha quality na melody. But for the most part TRASH.
[emoji2][emoji2][emoji2] unasema takataka za Bongo fleva, halafu unasema angalau Konde boy, mkuu hakuna unachokijua ni chuki tu uliyonayo kwa baadhi ya wasanii.
 
Sina timu wala chama. Mi natoa facts tu. Naona yule ana afadhali japo sio nyimbo zote, kuna code kaigundua.
 
[emoji2][emoji2][emoji2] unasema takataka za Bongo fleva, halafu unasema angalau Konde boy, mkuu hakuna unachokijua ni chuki tu uliyonayo kwa baadhi ya wasanii.
Ata siwajui ntawachukiaje? Nachukia mziki mbovu na nitasema tu. Siwezi kupollute ubongo wangu na matakataka.
 
Ata siwajui ntawachukiaje? Nachukia mziki mbovu na nitasema tu. Siwezi kupollute ubongo wangu na matakataka.
Kama unachukia metatarsal ya bongofleva unampendaje kondeboy?
 
Sawa mkuu,ila hiyo ngoma haiwezi kuingia kwenye playlist yangu!
Unauelewa mdogo, Kunatifauti kati ya ngoma mzuri iliyo-HIT na ngoma mzuri ya kusikiliza Note that.

Enjoy ya Jux ft Mond ni ngoma mzuri na kali na ina-HIT kwa energy iloyopo kwenye ngoma ila kwangu Mimi haiwezi kuwa kwenye PLAYLIST yangu most ya ngoma ambazo nasikila kwenye playlist ni za taratibu mfano 'Utu' 'Nipepee' sio za CLUB ila hii haimaanishi Club Bunger kama ENJOY kuwa ngoma mbaya kwangu.
 

Makabila si alisema kwamba wamemroga hata aimbe vipi haonekani? Tajiri huna adui.
 
Tunatofautiana na ndio maana mimi nikasema kwangu haiwezi kuingia kwa playlist!
Kuna hit kibao za club ila zipo kwa playlist yangu!
So usilazimishe unachopenda wewe na mwingine apende hicho hicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…