- Thread starter
- #161
Ngojea uone Putin Sijui atahamia wapi, siyo muda mrefu!
Kila atakapohamia atakuwa anaenda kusimamisha vita dhidi yake 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngojea uone Putin Sijui atahamia wapi, siyo muda mrefu!
Pumba tupu; kwa nini walimcheka? Unadhani nao hawajui kiingereza na hawana akili?Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!
Pumba tupu; kwa nini walimcheka? Unadhani nao hawajui kiingereza na hawana akili?
Kutoka kuwa na "Special Military Operation" hadi kuwa "War Against Us" ni flipping ya nguvu sana.
Halafu viongozi wa Magharibi waliwabembelea sana urusi waachane na vita ila wafanye diplomacyy lakini wao wakakimbilia special military operation nadhani wakitegemea kuwa watamrudisha Viktor Yanukovych madarakani kirahisi ili Ukraine iwe kama Belarus ila wakakumbana na kigingi.
Huyu Chief Spy wake aliyejaribu kumuonya Putin kuwa vita siyo nzuri alifanyiwa nini
Viongozi waliokwenda kumwomba Putina aachane na vita ni pamoja na hawa
![]()
![]()
![]()
How do you mean??
Kivipi mjomba????Ina maana mwaka 1979 wale mujaheed waliokua wanapigana umoja wa Soviet nchini afghastan walikua wamarekani msomi????Wa afghanistan ndio hao wamarekani?? Jifunze taratibu zingatia wakati,wahusika,mahali na uhalisia!! Kaa hapo kwanza
Wewe ndio umejadili kisomiHow do you mean??
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:
View attachment 2537591
Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣
Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina Yericko Nyerere na wale warusi wa pale Buza.
Ama kweli duniani hakutaisha vituko.
Umekwepa swali langu msomi.Kwahiyo hata wale mujaheedin waliokua wanapigana na urusi mchini afghastani kuanzia mwaka 1979 mpaka 1989 walikua mashoga?????Maaana kila anaepigana na urusi wewe unamuita shoga.Vp hao islamic mujaheedin walikua mashoga??Wa afghanistan ndio hao wamarekani?? Jifunze taratibu zingatia wakati,wahusika,mahali na uhalisia!! Kaa hapo kwanza
Umeisoma mada yote vizuri lakini? Au ndiyo kurukia treni kwa mbele? 🤣🤣Kajifunze kizungu vzr,Lavrov hakuwachekesha wajumbe,alichekwa "laughed at"not made them laugh!!
Jamaa alichekwa kwa kauri zake kwamba Urusi ilikuwa inazuia vita Ukraine.
Kuna zaidi ya hiki bro!!!Umeisoma mada yote vizuri lakini? Au ndiyo kurukia treni kwa mbele? 🤣🤣
Kajitekenya kacheka mwenyewe 🤭
Kuna zaidi ya hiki bro!!!