Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

Yani wewe mtoa mada inaelekea kwenye masuala ya kimataifa ni bwege mtozeni kabisa. Kama huwezi kuelewa ni nini Lavrov anamaanisha kwa kusema hivyo, sijui kama sisi tunaweza kukuelewesha.

Nikukumbushe kuna aliyekutambua kuwa na IQ kama ya kuku. Nikushauri upange kumshukuru kwani amekupendelea!
 
Yani wewe mtoa mada inaelekea kwenye masuala ya kimataifa ni bwege mtozeni kabisa. Kama huwezi kuelewa ni nini Lavrov anamaanisha kwa kusema hivyo, sijui kama sisi tunaweza kukuelewesha.

Nikukumbushe kuna aliyekutambua kuwa na IQ kama ya kuku. Nikushauri upange kumshukuru kwani amekupendelea!

Gily jingine hili hapa 🤣🤣.
 
Inaelekea wewe ni shabiki wa vyombo vya habari vya magharibi, ambavyo kwenye hii vita viko biased kuliko kawaida!
Kuhusu China vs Russia nani aanze kudhoofishwa, hilo ni suala la choice of priority kwa marekani. Russia amekuwa mpinzani wa marekani kwa masuala ya kivita kwa muda mrefu, kwa hiyo kudhoofisha Russia kwanza kabla ya China makes more sense. Ukiidhoofisha Russia kiulinzi na kiuchumi (kwa vikwazo), unabaki na adui mmoja tu ambaye ni China, yeye ni weak kiulinzi, unapambana naye kiuchumi kwa urahisi! Upo hapo?
Hope kila MTU asome hiki ulichokiandika, niliwahi kusema huko nyuma kuiangusha Nchi iliyopo vizuri kijeshi ni ngumu kuliko kuiangusha Nchi iliyopo vizuri kiuchumi both USA na Russia wanajua siri hiyo ndio.
Taifa la Russia wali Opt kiwa vizuri kijeshi.
Kuiangusha china kiuchumi in rahisi sana,kuliko kuiangusha Russia kijeshi mwenye jeshi imara kama Russia ana uwezo wa kukusambaratisha dakika sifuri wewe na uchumi wako.

Kuna watu huwa wanadhani uchumi ndio unapigana,uchumi una mchango wake lakini maarifa ya watu wako na silaa bora ndio nguzo.Naona viongozi wa enzi hizo akina Joseph Stalin walilitambua
 
Inataka akili kubwa kumwelewa Lavrov.

Ukiwa na akili kisoda kama mleta uzi hautamuelewa huyu mzee
 
Kwamba waliomcheka Lavrov kule G20 wako kwenye udaku ila wewe Hapo Kwa Mpalange? Hata kujihurumia kidogo ndugu? Yaonyesha imekuuma sana? Pole lakini.
Unawajua vema hao waliomcheka? Unacheza mziki wa magharibi sio!? Pole sana, endelea kulala fofofo.
 
Inataka akili kubwa kumwelewa Lavrov.

Ukiwa na akili kisoda kama mleta mada hautamuelewa huyu mzee

Unaweza kujidanganya kuwa na akili kubwa kumbe mbuzi tu.

Screenshot_20230224-190858.jpg


Akili kubwa haiwezi kutokea kwenye nchi hiyo 60 years baada ya uhuru.
 
Unawajua vema hao waliomcheka? Unacheza mziki wa magharibi sio!? Pole sana, endelea kulala fofofo.

Unayaokota wapi hayo mburula wewe? Kwamba umekereka kuwa Lavrov kawa kichekesho? Si ukameze nyembe?
 
Wahindi wamemcheka Lavrov maana hawakutegemea kama ni commedian mzuri namna hiyo.

Zelenski entered into politics as comedian and turned to be a strong political person while Larov started as politician but has now turned into comedian [emoji3]

Tatizo la Lavrov ni kutokutofautisha vita na comedy
 
Warusi weusi wanakuambia Urusi imefanya 'pre-emptive strike'..... hatari sana hawa jamaa

Bukyanagandi Yoda dudus 1954 Nyamizi TUJITEGEMEE
Kichuguu
Ni kweli akili ni nywele kila mtu ana zake - yaani huna hata chembe ya kutambua kwamba hiyo ni digitally manipulated video clip iliyo ungwa ungwa na wahuni wa CNN yenye lengo la propaganda za kujaribu kudhalilisha Mzalendo Lavlov na Urusi, kitu cha kwanza Lavlov anaheshimika Dunia nzima save majangili ya Uongozi wa Kimerikani na Ulaya ambao yamepania hata kuanzisha WW3 kuliko kuaibika kwa kushindwa vibaya sana na Urusi kwenye vita inayo endelea huko Ukraine hivi sasa - peza zao zinaendelea kuliwa na wajanja na Ukraine inajulikana Dunia nzima kwa kuwa ni kinara wa kula rushwa na mambo mengine ya kihuni, silaha wanazopewa asilimia kubwa zimekwisha tiwa kibereti na jeshi la Russia, nyingine Waukraine wajanja wanawauzia Warusi ili wazichunguze kwa kina mfano: Rocket hizi za HIMARS na launchers zake - ndio maana siku hizi Roketi za HIMARS zinatunguliwa kama nzi, hazitambi tena Mrusi kesha zipatia panadol, malori ya ma launchers yanafichwa sana kwenye misitu minene ili yasionekane, yanatolewa usiku wa manane zakionekana tu kamikaze Drones za Urusi zinazitia kiberiti, hali ngumu sana - NATO ali under estimate uwezo wa Urusi kustahimili vita hii kwa muda mrefu bila ya kuteteleka kwenye masuala ya silaha na wanajeshi.

Back to the main point kuhusu kauli ya Lavlov kwenye mkutano wa G20 - kama nilivyo sema toka mwanzo clip nzima ni maigizo tu CNN ime-dub sauti ya Lavlov kutoka kwenye archive zao za zamani hata hao watu wanao sikika kucheke kwenye background sauti zimepandikizwa tu hazina uhusiano wowote na masuala ya G20, mwangalie Lavlov alivyo kaa kwenye kiti - tuonyeshe picha nyingine ya waziri wa mambo ya nje kwenye mkutano wa G20 aliyekaa kwenye kiti kimoja kama mtu aliye karibishwa na Waziri mwenzake kuzungumza masula ya mahusiano ya mataifa yao na siyo kwenye mkutano - hata hilo hamlioni - kitu kingine tangu nimjue Lavlov sajawahi kumsikia aki-stammer stammer anapo zungumzia jambo, kwa sisi ambao tuna taaluma ya masuala ya TV tuliona wazi wazi lilikuwepo tatizo la lip sync ya sauti inavyotoka ukilinganisha na movement za lips za Lavlov ndio maana nasema sauti hiyo imepandikizwa lakini muhusika wa upandikizaji huo he/was a bit sloppy.

Nimalizie kwa kusema Lavlov ni mega smart upstairs like it or not up2U - uwezi kumwingia/kumtega kizembe zembe kwa maswali ya kijinga jinga muda wote ana majibu yaliyo kwenda shule unlike maiigizo haya yaliyo buniwa na CNN.
 
Warusi weusi wanakuambia Urusi imefanya 'pre-emptive strike'..... hatari sana hawa jamaa

Bukyanagandi Yoda dudus 1954 Nyamizi TUJITEGEMEE
Kichuguu
Ni kweli akili ni nywele kila mtu ana zake - yaani huna hata chembe ya kutambua kwamba hiyo ni digitally manipulated video clip iliyo ungwa ungwa na wahuni wa CNN yenye lengo la propaganda za kujaribu kudhalilisha Mzalendo Lavlov na Urusi.

Kitu cha kwanza Lavlov anaheshimika Dunia nzima, save majangili ya Uongozi wa Kimerikani na Ulaya ambao yamepania hata kuanzisha WW3 kuliko kuaibika kwa kushindwa vibaya sana na Urusi kwenye vita inayo endelea huko Ukraine hivi sasa - peza zao zinaendelea kuliwa na wajanja na Ukraine inajulikana Dunia nzima kwa kuwa ni kinara wa kula rushwa na mambo mengine ya kihuni.

Silaha wanazopewa asilimia kubwa zimekwisha tiwa kibereti na jeshi la Russia, nyingine Waukraine wajanja wanawauzia Warusi ili wazichunguze kwa kina mfano: Rocket hizi za HIMARS na launchers zake - ndio maana siku hizi Roketi za HIMARS zinatunguliwa kama nzi, hazitambi tena Mrusi kesha zipatia panadol, malori ya ma launchers yanafichwa sana kwenye misitu minene ili yasionekane, yanatolewa usiku wa manane zakionekana tu kamikaze Drones za Urusi zinazitia kiberiti, hali ni ngumu sana - NATO ali under estimate uwezo wa Urusi kustahimili vita hii kwa muda mrefu bila ya kuteteleka kwenye masuala ya silaha na wanajeshi.

Back to the main point kuhusu kauli ya Lavlov kwenye mkutano wa G20 - kama nilivyo sema tangu mwanzo clip nzima ni maigizo tu ya CNN ime-dub sauti ya Lavlov kutoka kwenye archive zao za zamani, hata hao watu wanao sikika kucheka kwenye background sauti zimepandikizwa tu hazina uhusiano wowote na masuala ya G20, mwangalie Lavlov alivyo kaa kwenye kiti - tuonyeshe picha nyingine ya waziri wa mambo ya nje kwenye mkutano wa G20 aliyekaa kwenye kiti kimoja kama mtu aliye karibishwa na Waziri mwenzake kuzungumza masula ya mahusiano ya mataifa yao na siyo kwenye mkutano - hata hilo hamlioni - kitu kingine tangu nimjue Lavlov sajawahi kumsikia aki-stammer stammer anapo zungumzia jambo, kwa sisi ambao tuna taaluma ya masuala ya TV tuliona wazi wazi lilikuwepo tatizo la lip sync ya sauti inavyotoka ukilinganisha na movement za lips za Lavlov ndio maana nasema sauti hiyo imepandikizwa lakini muhusika wa upandikizaji huo he/was a bit sloppy.

Nimalizie kwa kusema Lavlov ni mega smart upstairs like it or not up2U - uwezi kumwingia/kumtega kizembe zembe kwa maswali ya kijinga jinga muda, wote Lavlov ana majibu yaliyo kwenda shule unlike maiigizo haya yaliyo buniwa CNN na nyie mna amini.
 
Urusi wanaakili nyingi, mtu ambae hasapoti ushoga anaakili nyingi mno aise
 
Mtoa mada ebu soma hiyo habari labda itakusaidia kujua context ya kauli ya Lavrov. Nina assume unajua hiyo lugha.

Huu ushuzi kutokea Moscow unahusikana vipi na mada mkononi?
 
Kuna watoto wengi sana humu japo siyo kiumri hawayajui haya mambo.

Pengine ni kwakuwa tu wanaweza kuandika ndiyo maana wanaandika.
NJe ya kuandika hawajui kuwa Ukraine anatumiwa na anatumika kwerikweri 🤣🤣🤣🤣🤣
FpojyuNWIAAJNp3.jpeg
 
Back
Top Bottom