whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema mkuu.brazaj ukiona umeboronga ni vyema kuvunga.
Ukiendelea kubwabwaja unajiaibisha
Hata mtoto wa la 7 angeelewa hicho kiingereza
Endelea kukaa hivyohivyo ili uendelee kuchelewa huku Ukraine akitumiwa na kutumika kinyume na maumbile.Weka hapa kilicho kukera kwenye niliyoandika au niliyonukuu rejea zote si zipo?
Endelea kukaa hivyohivyo ili uendelee kuchelewa huku Ukraine akitumiwa na kutumika kinyume na maumbile.
Look at the map of Europe and compare the NATO area in 1998 to the NATO area in 2022 (plus Finland & Ukraine) it's quite clear who is the true agitator, the real instigator
Watanzania kweli akili ni ya popo,Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!
Ukijiuliza ni kwanini kuna watu Walishinikiza Baraba aachile na Yesu asurubiwe huwezi shangaa kauli ravrov na wafuasi wake mazombi.
Ukrein ili ivamia Urusi ili kuiba rasimali za Urusi ikitumiwa na marekani.
Marekani ni mchokozi wa asili na bahati mbaya watu wengi hawaoni.
Kitu anachofanya marekani cha kumpatia Teiwani silaha nzito za kijeshi ni uchokozi dhidi ya China lakini watu wengi hawaoni na jambo hili litaleta vita hapo mbeleni.
Kitu hicho hicho anachokifanya marekani kwa Teiwani akakifyanya China mfano pale Panama basi itaonekana otherwise.
Ndio maana nasema hapa duniani bora kinuke tu tuanze moja maana kuna ujinga mwingi sana
Wewe hicho kicheko unakitafasili vipi? Tuanzie hapo kwanzaUmeandika kwa mada ipi mjomba?
Hii inahusu kichekesho na watu waliocheka wamenukuliwa kwa sababu ma sauti.
Jiridhishe upo kwenye mada mjomba.
Kwa akili yako kubwa umegundua kuwa mimi naongelea kipi kati ya mada na alichokisema (alichoongeza mtoa mada?)
Wewe hicho kicheko unakitafasili vipi? Tuanzie hapo kwanza
Kumbe uko mjinga kiasi hiki 🤣🤣🤣Sikutafsiri lolote kwenye mada hiyo. Mwenye clip ametafsiri pia. Tafsiri yake ndiyo niliyoiweka.
Mwenye tafsiri alikuwapo kwenye eneo la tukio. Yeye pamoja na wawakilishi wa serikali yake.
Kwamba juu ya hayo ungali unadhani unayo tafsiri bora zaidi wewe hapo Kwa mtogore?
Hamjihurumii wapuuzi nyie?
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:
View attachment 2537591
Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣
Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina Yericko Nyerere na wale warusi wa pale Buza.
Ama kweli duniani hakutaisha vituko.
Alichomaanisha huyo Waziri na lugha iliyotumika hukuielewa. Hiyo vita Ukraine ni chambo.
Nikurudishe nyuma kidooogo tu, kipindi DT anaingia madarakani pale US, democratic walilalamika kuwa Urus kaingilia mfumo wao na kumuwezesha DT kushinda.
DT na Republic yake wakadai Joseph B anakishinikiza chama chake kusema hivyo kwakuwa tu kijana wake anafanya biashara nchini Ukraine hivyo anahisi huenda Urus ikawa kikwazo kwa kijana wake kuendelea na biashara yake.
Hapo nimekurudisha nyuma kidoooooogo sana.
Km utakuwa na nia ya kuelewa elewa,km una mgomo wa kuelewa nami sina nia ya kukulazimisha.
Kumbe uko mjinga kiasi hiki 🤣🤣🤣
Ongera kwa kukubaliana na tafsiri ya mwandishi
Walimcheka kwakuwa ndivyo walivyo panga na siyo kwamba walimcheka kwa kusema hivyo (kumsojodoa).
Mimi najua katika kucheka kuna mambo mawili
1. Kumuona anachokiongea ni kitu cha uongo
2. Lugha na style aliyotumia muongeaji iliwachekesha