Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

Habari imeishia tu hapo?
Halafu unasema umeelewa?
Nenda kaisome upya mpaka maneno ya mtoa mada aliyoandika kwa lugha nyepesi kwako mwishoni mwishoni huko.
Chief acha utoto na jaribu kuwa siriaz.
Fanya jambo moja, ngoja ni ashumu kuwa habari haikomei hapo, kuna maelezo ya ziada. Naomba usikilinshot kipande cha habari hii inapooshesha kuwa wajumbe wa G20 walilia na kulaani uvamiiza wa Ukraine iliofanya dhidi ya urusi.
 
Nimegundua pia kuwa unadhani kuwa kwakuwa ni wajumbe wa G20 basi hawana hila dhidi m

Ingekuwa anahitaji mada pekee ndiyo izungumzwe asingeongeza maneno yake.
Alichokiongeza kwa maana ya utashi wake ndicho nilichokiongelea. Na km wewe pia ni km yy ni bora ukawa mpenzi mtizamaji wa hiyo vita.
Aiseee. Dah!!!.
 
Utashangaa kuona vijitu vya huko msimbazi, magomeni mapipa, buguruni na wapi vinashabikia uharibifu na mauaji ya watu Ukraine! Vi watu vingine vipo tu nyuma ya Russia kwa sababu wanaona Russia ni mpinzani wa Marekani ambaye hawa wapuuzi wameaminishwa kuwa Marekani ni anti Islam! Acheni ujinga wenu enyi akina yakhe!
Kimtu kijinga kamawewe kiko uswahilini kinashabikia marekani kuitawala dunia ili ieneze uchafu wanaotaka!! Hiyo marekani ilipoingia Iraki ulikuwa umezaliwa? Uliona nivema? Unawelewa wajinsi walivyoibomoa USSR? Mambo yandaani tuwaachie wenye akili kubwa sisi tuwaombee
 
Mso

Msomi bila neno ushoga huwezi kuchangia mada.Kwahiyo waafghanstan walipokua wanapigana na warusi walikua mashoga pia???
Wa afghanistan ndio hao wamarekani?? Jifunze taratibu zingatia wakati,wahusika,mahali na uhalisia!! Kaa hapo kwanza
 
Wewe mswahili mujahidina wa hapo mwanakwerekwe acha ukafiri. Kweli wewe ulipendezwa na udikteta na ukatili wa Saadam Hussein kule Iraq?!!! Au kwasababu ni yakhe mwenzio ndio unaumia roho kwa yeye kuondokewa? Cha ajabu nyie akina yakhe kila siku ndio mnamwomba mola awapeleke Marekani na Ulaya. Nendeni Yemen na huko Iraq kama mnaamini katika waislamu wenzenu!
Kimtu kijinga kamawewe kiko uswahilini kinashabikia marekani kuitawala dunia ili ieneze uchafu wanaotaka!! Hiyo marekani ilipoingia Iraki ulikuwa umezaliwa? Uliona nivema? Unawelewa wajinsi walivyoibomoa USSR? Mambo yandaani tuwaachie wenye akili kubwa sisi tuwaombee
we
 
Look at the map of Europe and compare the NATO area in 1998 to the NATO area in 2022 (plus Finland & Ukraine) it's quite clear who is the true agitator, the real instigator
 
Wewe mswahili mujahidina wa hapo mwanakwerekwe acha ukafiri. Kweli wewe ulipendezwa na udikteta na ukatili wa Saadam Hussein kule Iraq?!!! Au kwasababu ni yakhe mwenzio ndio unaumia roho kwa yeye kuondokewa? Cha ajabu nyie akina yakhe kila siku ndio mnamwomba mola awapeleke Marekani na Ulaya. Nendeni Yemen na huko Iraq kama mnaamini katika waislamu wenzenu!

we
Jifunze kuwa mfuasi wa Mungu siyo mfuasi wa dini na viongozi wako wa makanisa we mtoto.... nonesense!!
 
Nimegundua pia kuwa unadhani kuwa kwakuwa ni wajumbe wa G20 basi hawana hila dhidi m

Ingekuwa anahitaji mada pekee ndiyo izungumzwe asingeongeza maneno yake.
Alichokiongeza kwa maana ya utashi wake ndicho nilichokiongelea. Na km wewe pia ni km yy ni bora ukawa mpenzi mtizamaji wa hiyo vita.

Watu kama wewe Dk. Mollel aliwaona. Kipi nilichongeza kilicho kupa wewe makasiriko haya ewe Mrusi mwitu.

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg
 
Mtoa mada ebu soma hiyo habari labda itakusaidia kujua context ya kauli ya Lavrov. Nina assume unajua hiyo lugha.
Hii mada uliomwelekeza mleta mada asome ili kumpa uelewa haina Jambo jipya na Wala haitoi majibu ya kile unachomkosoa.
 
Chief acha utoto na jaribu kuwa siriaz.
Fanya jambo moja, ngoja ni ashumu kuwa habari haikomei hapo, kuna maelezo ya ziada. Naomba usikilinshot kipande cha habari hii inapooshesha kuwa wajumbe wa G20 walilia na kulaani uvamiiza wa Ukraine iliofanya dhidi ya urusi.

Akikujibu usiache kutustua
 
Hiyo kazi kafanye wewe ambaye unaona kuwa alichokisema huyo Mrusi na walichocheka hao G20 wengine walikuwa na tafsiri sawa.
Hiyo taarifa ilikuja na maneno Warusi wa sijui wapi?
Acha kusumbua wakati hujui.

Siriaz ni wapi huko unakonitaka niweko?
 
Back
Top Bottom